Mabachelor wa JamiiForums!

Mabachelor wa JamiiForums!

Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
WAKIBADILI TABIA,TUTAWOWAAAAAAAAAAAAAAAAAA....[emoji4]
 
Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Tatzo si kuchangiwa ,,tatizo ni wa kumuoa
 
Sifa za uchumba huanza kwenye nyumba,mtapelekana wapi kama nyumba Hanna?
 
Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Haaaaa haaaaaaa ubachelor unaboa sana mkuu kama hii asbh na hil bard ni shda walio oa wanafanya yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom