Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Au ulikua unataka kumuelton johnOhhhpppsssss.......
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ulikua unataka kumuelton johnOhhhpppsssss.......
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
WAKIBADILI TABIA,TUTAWOWAAAAAAAAAAAAAAAAAA....[emoji4]Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Nioneshe muolewaji,NTAKUONESHA MUOAJI..mtapata mnachokitafuta,SIO,mnachokitakaTatizo waoaji hakuna
Tatzo si kuchangiwa ,,tatizo ni wa kumuoaHellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Walai Nawaambien[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpo eeeh?...shilawadu nakuonaTupo Quier Tatizo ni "VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA"
Wewe umeolewa?Mpo eeeh?...shilawadu nakuona
"Good luck" ( in Nielsen of Taken voice)Hapana mimi ni porter Kilimanjaro
watangazie mwe mahitaji hayo aje PM fasta nafasi ni chache[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wako wengi humu ndani acha Kabisa...fanya maamuzi ndugu
Jitokeze uone kama hamna waoajiTatizo waoaji hakuna
Haaaaa haaaaaaa ubachelor unaboa sana mkuu kama hii asbh na hil bard ni shda walio oa wanafanya yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Unautafuta usingle mother kwa nguvuSmart911 mwaka huu hauishi nakuzaliaaa akili itukae sawa kwanza
hivi wachumba wale ulishamalizia story zao ngoja ntafute zile uzi stori zilinikonga moyoUtanifanyia kitchen party shosti
Kila la kheri Mahondaw