Tatizo waoaji hakuna
Tupo Quier Tatizo ni "VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo waoaji hakuna
Nimekumiss Junior.....Na mi muda utakuwa bado
Mama yako mbona Anauza?Ufanyiwe acha kushobokea watu muuza nyapu wewe
Miss you much much...Nimekumiss Junior.....
Nilijua tayariii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mie bado bwana mpaka ifike ile miaka ya kufunga na kusaliMiss you much much...
hahha tayari wapi, nakusubiri uanze!!!
Hee!! kumbe badoUtanifanyia kitchen party shosti
Kumbe tuko wengiHellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Tupo saana tatizo lenu mnataka tuanze sisi kuwatongoza[emoji85] [emoji85]Tatizo waoaji hakuna
Ukipata jibu nzuri unitag mkuu mkuu na mimi nasubiriKwani mwisho wa kuwa na ndoa ni miaka mingapi?
Njoo nikuoe binti...!Tatizo waoaji hakuna
Hehe sipati picha ntakavyoyarudi
Tupoooo wacheza kwaito aolewe na kitchen party itafanyika
Kwani nyinyi hamtaki kuolewa? Mungu anawaona!Hahaha!, will be honored Miss...lol!
Hivi ulitimiza miaka 3 au 5 ya ndoa juzi?!Tupo Jaman
Sikumbuki Chochote Ndugu YanguHivi ulitimiza miaka 3 au 5 ya ndoa juzi?!
Wewe yesu angerudiNjoo nikuoe binti...!
Acha kutusingiziaaTatizo waoaji hakuna
Acha kuniharibia miss. Mwaka huu nauaga ukapera...New Year Resolution!Wewe yesu angerudi