Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila chonde×2 usije kuleta uzi hapa wa kuwalalamikia wanaume,tumeshakuonya mapemaaaaa
hongereni !serious tukiamua tunawezaNa mimi
Za sikuhongereni !serious tukiamua tunaweza
Nikuoe mm kama vipiHahahahaaa!!!!
Updates naomba,kwa wale walio tendea kazi hili Mungu akubarikiHellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Matokeo game bado ni 0-0 mkuu,mechi ni ngumu bado.Updates za hii MADA wadau
kama ni gari yani bado haliendi popote gage inasoma sifuriMatokeo game bado ni 0-0 mkuu,mechi ni ngumu bado.
Wewe hebu tupe mrejesho kulingana na ulichopost.Updates naomba,kwa wale walio tendea kazi hili Mungu akubariki
Dakika za ziada zimeongezwaMatokeo game bado ni 0-0 mkuu,mechi ni ngumu bado.
Tutafika hadi matutaDakika za ziada zimeongezwa
AhahaaaTutafika hadi matuta