Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

Huu Uzi ndio mzur sasa.... iwe kila siku tunapeana darasa ile jion
 
Napendekeza mapishi yaanze saa 5 ili kufika saa 7 watu wawe wameishamaliza kula wakwenda kuswim tukaswim[emoji1]
 
Mimi nimenunua vitu tayari natafuta wa kupika nae,ajitokeze tafadhali.
 
Yah ni kwel kabisa we need health meal at low cost count me in kwenye kila darasa
unaweza ukapendekeza tupike nini pia mimi namwaga tu jinsi ya kupika tanzania tumejaliwa vyakula vingi na vipo masokoni pia tunajitesa na chips,sijui burger mshahara unaishia huko hatuna tunachokifanya hapa hadi mabogatutapika
 
Nipo hapa mm kama mwenyekiti wa chama cha wasio Oa (CHACHAWAO) nitatinga na apron kabisa[emoji6][emoji6][emoji6]
 
unaweza ukapendekeza tupike nini pia mimi namwaga tu jinsi ya kupika tanzania tumejaliwa vyakula vingi na vipo masokoni pia tunajitesa na chips,sijui burger mshahara unaishia huko hatuna tunachokifanya hapa hadi mabogatutapika
Tunaish kwenye utumwa wa vyakula vya kizungu wakat we have plenty of local food here nafikir kila mwisho wa darasa moja tutakua tunapendekeza nin kifuate.
Ngoja ni subscribe kabisa huu Uzi niwe napata notification every minute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…