Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona sijafunga?kwakuwa wewe ni wakike inabidi kesho uje kwangu kunipikia aisee hebu fungua PM nkupe my #
kweli mkuu tujenge afya zetu ukipika mwenyewe unakula vizuri halafu low costHuu Uzi ndio mzur sasa.... iwe kila siku tunapeana darasa ile jion
ahahaaa ngoja tuone wadau wengine wanasemaje wengine tunaamka saa tanoNapendekeza mapishi yaanze saa 5 ili kufika saa 7 watu wawe wameishamaliza kula wakwenda kuswim tukaswim[emoji1]
Yah ni kwel kabisa we need health meal at low cost count me in kwenye kila darasakweli mkuu tujenge afya zetu ukipika mwenyewe unakula vizuri halafu low cost
Tabia ya mtu haijifichivichaa ni wengi sana bongo
unaweza ukapendekeza tupike nini pia mimi namwaga tu jinsi ya kupika tanzania tumejaliwa vyakula vingi na vipo masokoni pia tunajitesa na chips,sijui burger mshahara unaishia huko hatuna tunachokifanya hapa hadi mabogatutapikaYah ni kwel kabisa we need health meal at low cost count me in kwenye kila darasa
achana nao mkuuTabia ya mtu haijifichi
ahahaaaa nimecheka sana karibu mkuuNipo hapa mm kama mwenyekiti wa chama cha wasio Oa (CHACHAWAO) nitatinga na apron kabisa[emoji6][emoji6][emoji6]
Tunaish kwenye utumwa wa vyakula vya kizungu wakat we have plenty of local food here nafikir kila mwisho wa darasa moja tutakua tunapendekeza nin kifuate.unaweza ukapendekeza tupike nini pia mimi namwaga tu jinsi ya kupika tanzania tumejaliwa vyakula vingi na vipo masokoni pia tunajitesa na chips,sijui burger mshahara unaishia huko hatuna tunachokifanya hapa hadi mabogatutapika
[emoji120] usihofu napenda kujua touch tofauti tofauti za mapishi , ukianza tu ww nitagahahaaaa nimecheka sana karibu mkuu
ahahahaa uchochezi huoUmebadilika Siku hizi
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1123274/