Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #41
najua wengi hatupendi kabeji ila tutalipika vizuri utalipenda wewe tulia siku ya kisamvu nayo itafika tutamwaga mipointMimi kabej situmii nielekez mapish ya kisamvu
ahahaaaNews Alert nyingine bana!
usijali karibu andaa tu vifaa[emoji120] usihofu napenda kujua touch tofauti tofauti za mapishi , ukianza tu ww nitag
vioshe kabisa mkuuvyombo vyangu nilivweka chin ya uvungu mwez wa 6 sasa ngoja nivifukue
ahahahaa uchochezi huo
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
kesho napendekeza tule ugali na mboga ya kabeji na kuku najua wengi hampendi kabeji maana ni chakula cha mifugo ila tutalipika vizuri kila mtu ataenjoy
Mimi ni bachelor lakini sijui kupika.wewe ni bachelor?
[emoji28][emoji28][emoji28]Najilaumu kuuza vyombo vyangu,
Yani sipendi kisamvu balaaaMimi kabej situmii nielekez mapish ya kisamvu
hatko pamoja sio?Kesho ni ugali mkubwa na samaki kwa kachumbari
ahahaaa acha hizoDuh, nimecheka sana huyu mdau aliyetoa link.
Nina wasi wasi hapa maelekezo yakaja kuwa tofauti, mwalimu uko unapika makande, wanafunzi kuku na wanafata instructions zako.
Anyway, huu uzi utaniambia nani ni mboga saba hapa.
Yaan kisamvu ndo mboga ya majan iliyobaki ambayo inafaa kuliwa mjin. Sababu huwez kukuta imepandwa kwenye miferej ya choon tofaut na kisamvu utakuwa unakula uchafu 2 kama upo mjin.Yani sipendi kisamvu balaaa
bachelora anakuwa ameolewa?Huwa Najiuliza umeolewa...??
Na kama umeolewa Unawatoto wangap..??
Mumeo yupo wap..??
Post zako Haziendan kabisa na Vibint
Ok pouwa buana 1 day ntakuja jua tuu