Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

vyombo vyangu nilivweka chin ya uvungu mwez wa 6 sasa ngoja nivifukue
 
Kesho ni ugali mkubwa na samaki kwa kachumbari
 
ahahahaa uchochezi huo

raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau

Duh, nimecheka sana huyu mdau aliyetoa link.

kesho napendekeza tule ugali na mboga ya kabeji na kuku najua wengi hampendi kabeji maana ni chakula cha mifugo ila tutalipika vizuri kila mtu ataenjoy

Nina wasi wasi hapa maelekezo yakaja kuwa tofauti, mwalimu uko unapika makande, wanafunzi kuku na wanafata instructions zako.

Anyway, huu uzi utaniambia nani ni mboga saba hapa.
 
Huwa Najiuliza umeolewa...??

Na kama umeolewa Unawatoto wangap..??

Mumeo yupo wap..??

Post zako Haziendan kabisa na Vibint

Ok pouwa buana 1 day ntakuja jua tuu
 
Sijapika nina zaid ya miezi 6 sasa, any way kesho ntapika aisee, mboga ya majani iwe tembele badala ya spinachi, mboga ya kawaida iwe dagaa badala ya kuku.
 
Nina sufuria mbili na gesi hapa,nitapika nimechoka vibandani huko daa.
 
Duh, nimecheka sana huyu mdau aliyetoa link.

Nina wasi wasi hapa maelekezo yakaja kuwa tofauti, mwalimu uko unapika makande, wanafunzi kuku na wanafata instructions zako.

Anyway, huu uzi utaniambia nani ni mboga saba hapa.
ahahaaa acha hizo
 
Back
Top Bottom