sijui sijawai ulizia maana sina interest nazoOkay,price inaanzia ngapi?
Sikuwaonja hata,potezea mbaya,kupika sasa imekuwa Kama hobby kwangu.ahahaa ukafanyeje?
Mm nataka nione livetutapika wote hapa wewe kanunue vifaa
no ni ya apple inauzwa elf 3 mia tano ndogo achana na ile ya ndimuDada angu hiyo apple cider vinegar una maanisha ndimu yenye ladha ya apple au?
unataka kunenepa?Mm nataka nione live
Nikiona mtanenepa
Sana tu hasa nikionja mapishi yako naamini nitanenepa tuunataka kunenepa?
....teh hee hee..gazeti!haiwezi kupenya maana mimi sio reject nina thamani yangu kubwa tu.kama unadhani kuolewa ndo mtu anakuwa na thamani ni wewe .
huna lolote la kiniita reject wewe . nakwambia siku yako ipo utanikumbuka watu kama wewe hunipi shida
kuna vinegar za aina nyingi hata za nyanya zipo .kwenye kabeji tunatumia ya apple maana ina utamu flani hivi ila ingekuwa nyama tungetumia ya ndimu ileKwel ubachelor kaz, inabd niviandike nikaulizie supermarket mana vingine ndo navisikia leo
nashangaa hayawahusu wanaleta mapovu hapaJaman angalizo, haya mapishi n kwa bachelors, nyie ambao mlishawah kuoa au kuolewa na mkaacha au kuachika subirin kipnd chenu cha mapish ya masters, ππ
utoto unawasumbuaNdo wasumbufu wenyewe hao, waambie wapumzike kidogo wasubr intake ya magufuli
njegere unapika na nini?Ratiba yangu inasema kesho njegere....inakuaje sasa....pesa ya kuku kesho haipo mkuu
Dah....ndiyo asili yao haikwepeki [emoji13] [emoji13]tutapika wote hapa wewe kanunue vifaa