Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

Dada angu hiyo apple cider vinegar una maanisha ndimu yenye ladha ya apple au?
 
Kwel ubachelor kaz, inabd niviandike nikaulizie supermarket mana vingine ndo navisikia leo
 
haiwezi kupenya maana mimi sio reject nina thamani yangu kubwa tu.kama unadhani kuolewa ndo mtu anakuwa na thamani ni wewe .
huna lolote la kiniita reject wewe . nakwambia siku yako ipo utanikumbuka watu kama wewe hunipi shida
....teh hee hee..gazeti!
..mbona kilio na mikamasi uso mzima sasa?
....ntakukumbuka kesho saa 6:15!
.kwaheri!
 
Jaman angalizo, haya mapishi n kwa bachelors, nyie ambao mlishawah kuoa au kuolewa na mkaacha au kuachika subirin kipnd chenu cha mapish ya masters, 😛😛
 
Kwel ubachelor kaz, inabd niviandike nikaulizie supermarket mana vingine ndo navisikia leo
kuna vinegar za aina nyingi hata za nyanya zipo .kwenye kabeji tunatumia ya apple maana ina utamu flani hivi ila ingekuwa nyama tungetumia ya ndimu ile
 
Ndo wasumbufu wenyewe hao, waambie wapumzike kidogo wasubr intake ya magufuli
 
Ratiba yangu inasema kesho njegere....inakuaje sasa....pesa ya kuku kesho haipo mkuu
 
Back
Top Bottom