Mabadiliko au maendeleo ya dunia, huja na maumivu!!

Mabadiliko au maendeleo ya dunia, huja na maumivu!!

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Kila mtu anatamani kuona dunia ikiendelea, ikisonga kutoka hapa ilipo. Mabadiliko ama maendeleo ya dunia huja na maumivu makubwa sana, maendeleo hayaji burebure tu, ni lazima uumie.

Unataka kutajirika, basi itakubidi uanze kuamka saa kumi na mbili asubuhi na kulala saa saba usiku, ni lazima mwili upitie maumivu ndipo utakuja kutajirika. Sisi tunasema hivi, ukiona shida zinaongezeka basi mafanikio yapo karibu.

Kwa nini shida zinaongezeka mafanikio yakikaribia? Ni kwa sababu hakuna mafanikio bila kupitia shida. Ipo hivyo.

Miaka ile wakati wa mapinduzi ya viwanda, watu wengi walipoteza kazi, ni kwa sababu mashine zikaingia kufanya kazi, kampuni zikaachana na watu.

Watu walikuwa na mashamba makubwa ya mpunga, ilikuwa ni lazima kuajiri wafanyakazi kwa ajili ya kulima, lakini baada ya matrekta kuingia, sasa watu wakaacha kuajiri watu 20, wanaajiri mtu mmoja ama wawili. Maendeleo yakaleta shida kwa watu wengine.

Serikali inapotaka kuwatengenezea wananchi barabara mtaani kwenu, ni lazima nyumba zibomolewe, ni lazima wenye nyumba wapitie maumivu, kila kitu kinachobadilika kinakuja na maumivu ndani yake.

Dunia ilivyokuwa inaendelea, vikatengenezwa vitu viitwavyo Dildo (Hivi ni vifaa kama uume vya kujiingiza ukeni). Wanawake wakavinunua, sasa wanaume wakachanganyikiwa, wanawake hawakuhitaji tena wanaume, wakawa wananunua dildos na kumaliza haja ya miili yao.

Mtaalamu wa Tesla, Elon Musk ameona sasa dunia inatakiwa kupiga hatua zaidi, anaamua kutuletea maroboti ya kike kwa ajili ya kuishi nayo (Patamu hapo).

Unaposikia roboti la kike haimaanishi utakuwa unaviona vyuma vyake, hapana, atakuwa na ngozi kama yako, laini, kila kitu mpaka kule ukeni kutakuwa laini vilevile ila badala ya kuwa na mifupa, yeye atakuwa na vyuma. Yaani hivyo vyuma vinachukua nafasi ya mifupa.

Wengi wanauliza kuhusu kuzaa kwa hayo maroboti, bro! Kuzaa haitokuwa first priority huko baadaye, yaani kutokana na kuwa na mambo mengi, binadamu watakuwa wanaamua tu kuishi kivyaovyao na hakuna mambo ya kuzaazaa kama sasa.

Hapa ndipo nilipokumbuka ile ishu niliyowahi kuwaambia kipindi cha nyuma. Nilisema CIA walimtuma mtu kwenda miaka mia moja mbele ili aone dunia itakuwaje. Hapa kwanza niseme kitu kimoja, MSOME.

Kuna mambo ukiambiwa, na akili yako ya kusoma magazeti hutoweza kuelewa wala kuyaamini. Mtu anakwendaje miaka ya mbele ama ya nyuma? Bro! Jitahidi sana usome dunia isikuache.

So huyo jamaa baada ya kwenda huko na kurudi akaanza kusimulia. Kitu cha kwanza watu wa miaka hiyo walikuwa wakimshangaa mavazi aliyovaa ni ya kizamani, yeye alivalia suti. Kwa hiyo, hizi suti unazoziona zitakuja kupitwa na wakati.

Pia akasema dunia ilikuwa imebadilika, watu walikuwa wakifunga ndoa na maroboti, yaani kila kona kulikuwa na maroboti. Wakati anayasema hayo kipindi kile kila mtu alihisi kama jamaa alikuwa anazingua, ila baada ya Elon Musk na baadhi ya Wachina kuanza kutengeneza maroboti, sasa watu wameanza kuamini kile alichokisema yule jamaa.

Maroboti yanakuja! Mtu ataona ni bora anunue roboti na kuliweka ndani, awe anafanya nalo mapenzi, liwe linampikia lakini mwisho wa siku hapati lawama, mnuno na mambo mengine.

Roboti litakuwa linakupikia, lenyewe halili, chakula chake ni chaji tu. Mimi ninachokijua kipindi hicho yakianza kuuzwa, watu wakijua umenunua roboti lazima waje kuliiba…unaamka asubuhi, mpenzi roboti halipo! Patamu hapo.

Nadhani Musk atakachokifanya ni kulipa access hilo roboti kupitia wewe. Maybe sehemu zake za siri zimefungwa, ili zifunguke, unatakiwa kuingiza password…ili lianze kufanya kazi pia unahitaji kuingiza password, nadhani itakuwa hivyo, ni sawa na simu.

Ila pamoja na hayo, kutakuwa na wajanja wa kuflash maroboti pale Kariakoo kama ilivyo kwa simu.

Mnakumbuka kwenye Biblia waliandika kuna kipindi mwanaume utafuatwa na wanawake saba, wote wanataka uwaoe ili waitwe kwa jina lako…hicho kipindi kinakuja, wanawake hawatokuwa wanaolewa, watu watakuwa bize na maroboti. Watatamani kuolewa ila waoaji wameoa maroboti.

Acha tusubiri!
FB_IMG_16845791156532684.jpg
 
Back
Top Bottom