Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Kuna mambo mengi sana nchi hii hayaendi, natamani ningepata uwaziri kwenye moja ya wizara ambazo mambo mengi hayaendi mfano upimaji wa miji na mipango miji, ningeondoa kila aina ya uzembe.
 
Makamba is too smart to work with the current crop of people including his top boss!
I'd say he's a misfit in this system.
 
sijakuelewa vizuri,ulijuaje maongezi yao yalikuwa ni mipango ya kumhujumu Rais?unless ulikuwa mshiriki ungejuaje maongezi yanahusu nini?
 
Nakubaliana na wewe mia kwa mia
 
Kuna mambo mengi sana nchi hii hayaendi, natamani ningepata uwaziri kwenye moja ya wizara ambazo mambo mengi hayaendi mfano upimaji wa miji na mipango miji, ningeondoa kila aina ya uzembe.
Wizara ya Ardhi wampatie mzungu uraia kisha apewe Ubunge wa kuteuliwa kisha awe Waziri wa Ardhi mshirikiane nae .
 
Anaonaje haya mabadiliko ayafanye mara baada ya kuhakikisha Watanzania wote wamepata sukari ya kutosha ili akiwa anatutangazia basi tuwe tumeketi majumbani mwetu tunakunywa chai tamu na siyo chungu?
 
Makamba is too smart to work with the current crop of people including his top boss!
I'd say he's a misfit in this system.

Umesahau wale wachawi wa Baba yake?... Saizi nasikia kashamwita mganga wake kutoka Gambia aje kusawazisha mambo
 
Anaonaje haya mabadiliko ayafanye mara baada ya kuhakikisha Watanzania wote wamepata sukari ya kutosha ili akiwa anatutangazia basi tuwe tumeketi majumbani mwetu tunakunywa chai tamu na siyo chungu?
Mkuu Januaty hapendi kusikia kero ya sukari inamalizika mapema si unajua ni Mzee wa fursa kaitumia kupiga Dili za magendo hataki kusikia watu wanajadili muafaka.
 
Acheni kumvika kilemba cha ukoka January ,Kakatwa Lowasa na nchi imetulia ndio ije kuwa kwa huyu January ?
Watu wakiamua atakatwa na atatulia afungue mdomo tu halafu ataelewa nini maana ya kugusa chochote kinacho hatarisha usalama wa nchi

Waulize hao waliomkata Mh.Lowassa watakwambia jinsi wanavyohangaika na kivuli chake wakati mwenyewe katulia.Kila siku wanatembea na fagio kujaribu kufuta alipokanyaga,lakini wameshindwa.
 
Aisee watu wametokota mapema sana. Kama hizo tuhuma za JM ni za kweli anatakiwa kukaa nje ya serikali haraka sana.
 
Waulize hao waliomkata Mh.Lowassa watakwambia jinsi wanavyohangaika na kivuli chake wakati mwenyewe katulia.Kila siku wanatembea na fagio kujaribu kufuta alipokanyaga,lakini wameshindwa.
Lowasa kafanya kipi kuhatarisha usalama wa nchi ?? Amekaa zake kimya ,sasa nawashangaa nyie mnaosema sijui January atamwaga ugali kisa anajua yote yaliyofanyika kwenye uchaguzi na Magufuli hana ubavu wa kumgusa ,

Wakiamua ataguswa na hana la kufanya huyo January
 
Teua baba wana wa Israel kutoka-Kilimanjaro kwenye baraza lako uone mafanikio na baraka kwenye baraza lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…