simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Watoto wa kusingiziwa kama yule naniliuu tumbo kubwa fupi nyundo.Kashaowa na ana watoto wawili....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa kusingiziwa kama yule naniliuu tumbo kubwa fupi nyundo.Kashaowa na ana watoto wawili....
Yani excuse kua ni binadam na binadam anaweza kubadilika ndio mnainote leo, hapo awali mlipokua mnamfananisha na malaika hamkujua kua ni binadam na anaweza kubadilika?Wewe ulitaka iwaje kwa mfano? Kama kweli una akili timamu ya kuweza kuvalia nguo umeshindwa kabisa kufahamu kuwa tabia ya binadamu inaweza kubadilika? Wangapi wamebadilika pasipo wewe kutarajia na ukawa huna uwezo wa kuwafanya chochote? Mechanism za kiutawala kwa kulifahamu hili ndio maana wakaweka uwezekano wa utenguzi. Ndio maana katika moja ya udhaifu mkubwa wa katiba yetu ni wananchi kushindwa kuwawajibisha wabunge wao pindi wanapowachagua. Wabunge wengi waliochaguliwa wamebadilika na wananchi waliwaamini lakini hakuna cha kufanya. Kutengua ni moja ya dalili kuwa mtu anawajibika na anatekeleza kwa vitendo ya falsafa kuwa cheo ni dhamana. Kwani wewe unataka mtu akiteuliwa ndio afe nacho?
Kama the office is too big for this guy then, there is no any other person who fits there among the rest of us, at least he has reasonable muscles to wear it than the rest of us!
Waziri wa sheria awe Tundu Lisu .
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Ukiona mtu anasema wewe kweli hero ujue Upeo umefika mwisho kaishiwa maneno, kuijadili ID ya JF wakati si jina la ubatizo ni sawa na kusema Hero ni matusi Kwa makabila mengine usijone una Akili kisa Mchepuko umekusifia ili ukuchune pesa za Dili la vibali vya sukari.Wewe kweli funza, mimi makamba toka lini?
Kaa chini mkuu,punguza jazba.Kwahiyo sasa hivi sio raia wa nchi hii!!mbona CCM walimpitisha kugombea??nyie ndio walewale,akishateuliwa mnarudi tena huku kupongeza,sijui mna matatizo gani kichwani!!Wewe njaa inakusumbuwa, ni nani anaweza kukupa uwaziri Somalia? Kama hujui kitu kaa kimya hii siyo serikali ya Msoga, Bashe ni msomali na ni mkurugenzi wa Habari corporation inayomilikiwa na Rostam Aziz Tycoon wa Panama paper, hivi Watanzania wenye nia njema wamekwisha mpaka serikali yetu tuwakabidhi mamluki?
Nyinyi kwa njaa zenu huko majimboni endeleeni kuwapa ubunge ila msahau mamluki hawa kuingizwa serikalini. Never.
Watoto wa kusingiziwa kama yule naniliuu tumbo kubwa fupi nyundo.
Hapo kwa Mwanri nakuunga mkono kabisa.Hata Naibu waziri wa mambo ya Ndani sio mtendaji.. ni mzigo..!! Masauni sio kabisa..!!
Hii wizara inataka watu AGGRESSIVE and Competent..!!
Masauni yuko slow sana...
Wizara ya mambo ya NDANI INGEFAA MTU KAMA AGGREY MWANRI..MKUU WA MKOA WA TABORA.
Sasa wewe fikiri tu kwa makini mtu anamtumia dada yke akakatwe na waitaliano na makaburu ili apate ulaji wa kumuwezeaha kisiasa unafkiri ni mzima huyo.Hahahahahaha..... Ina maana jamaa hasimamishi?...
Kama binadamu wakabadilika basi hata mteua mawaziri atabadilika baadae anaweza kuja kuwa Kama Mkapa au Kikwete na Kama habadiliki basi amwondoe Mwakyembe maana anatuhumiwa Kwa Ununuzi wa mabehewa chakavu .Yani excuse kua ni binadam na binadam anaweza kubadilika ndio mnainote leo, hapo awali mlipokua mnamfananisha na malaika hamkujua kua ni binadam na anaweza kubadilika?
Nooo, the office is too big for himself na mara nyingi kasema yeye mwenyewe kua angejua the office is too big asingejaribu hata kuchukua fom achilia mbali kugombea.
The worse for his incompitence for the office is yet to come.
Sio kuonekana tuu amekuwa akitatua changamoto nyingi saana za wizara ya afya na ameongeza kidogo discipline kwa watendaji wa afya akisaidiana na mzee wa field HKkazi ya kuonekana kwa media?
Tunamuunga mkono lakini naona hapa umekuja na mawazo yako sasa tumuunge mkono ili tetesi zako na tuhuma zako ziwe za kweli?umetoa tuhuma nyingi sana kwa watu je hizo tuhuma ni za kweli?Je wewe hauna Maslahi na hao uliowataja , anyways kwa kuwa ni tetesi lets waitMytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Hahahahaa mkuu kavurugwa huyo. Sasa afanye tena zile tabia zake za kumuuza dada yake apate japo ujira kidogo kumuwezesha kisiasa.Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Ukiona mtu anasema wewe kweli hero ujue Upeo umefika mwisho kaishiwa maneno, kuijadili ID ya JF wakati si jina la ubatizo ni sawa na kusema Hero ni matusi Kwa makabila mengine usijone una Akili kisa Mchepuko umekusifia ili ukuchune pesa za Dili la vibali vya sukari.
Hapo kwenye red, Ritz kuja hapa uteteeee....Tuondolee uchuro, hakuna msomali anayeweza kuwa waziri Tanzania ya leo, BTW Bashe ni kibaraka wa Rostam Aziz mzee wa Panapa paper hatuwezi kuweka maliasili zetu rehani ati Bashe awe waziri wa maliasili ili amgawie vitaru Rostam Aziz ambaye anamiliki kampuni za uwindaji, tuondoleeni uchuro huu Tafadhari, Rais si mpuuzi kama mnavyodhani na system iko macho na tunafanyanayo kazi bega kwa bega na taarifa zote sahihi tunazifikisha.
Ndio maana wengine hatuna muda wa makelele kwa sasa tumeshika rimoti tu.
One down next Ramadhani Dau.
January Ana bahati mbaya Sana.
Mkuu hapo akiteua sasa wajanja watakula Wapi? Hujui kuwa Wazee wa fursa akina January Makamba ni mda wao kuneemeka kupitia humo humo .Magufuli ateue waziri wa sukari tumechoka kununua sukari sh 6000 kilo moja.
Magufuli anamwogopa January Makamba kuliko Ukoma hata akifanya nini hawezi kumtumbua JIPU na sasa yupo anatafakari kumpa Wizara ya mambo ya ndani ili atumike kuwadhoofisha wapinzani .Unaweza kumuona ana bahati mbaya,lakini ndiye mwenye siri ya ushindi wa CCM.Yeye ndiye aliyeratibu vitengo vyote vilivyotumika kumpa ushindi mukulu,wasipomuangalia kwa jicho la tatu anaweza kumwaga mboga na ugali wote wakakosa msosi.