Acheni huu uPUMABVU wakufikiria watu ambao walikuwepo kwenye System... ningekuelewa labda ungejipigia debe we we mwenyewe......ADADI atakuwa na Jipya gani kwenye Serikali au huna Taarifa kuwa aliwahi kuwa DCI kabla hajawa Balozi huko Zimbabwe....hapo labda Adadi , hao wengine kina bashe timu luwasa hao, alafu bashe ana uwezo gani jamani hebu tuache propaganda
Cha ajabu wengine haya wanayaona ni mabadiliko!!Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.
Bashe kaonyesha uwezo mkubwa kwenye lipi Mkuu??Kabisa.... Kaonyesha uwezo mkubwa
Kwani huyu hero ndie January?ndiyo maana mlitumia pesa nyingi hususani Wewe January umevuna sana kwenye kampeni iliyopita na sasa upo na kamati yako ya Ufundi mnapiga kazi Usiku na mchana upewe Wizara ya mambo ya ndani .
Bashe kaonyesha uwezo mkubwa kwenye lipi Mkuu??
Ila sukari ndiyo anaiogopa.Rais hana mchezo
Unadhani kutakuwa na jipya basingoja tuone..
Kuna mambo mengine yanaumiza sana, mengine hata hayahitaji mpaka mkopo kutoka nje! Kuna maafisa wamejazana kwenye halmashauri ambao wanalipwa mishahara, kinachokosekana ni ubunifu, uamuzi, ufuatiliaji, usimamizi na kipaumbele.Wizara ya Ardhi wampatie mzungu uraia kisha apewe Ubunge wa kuteuliwa kisha awe Waziri wa Ardhi mshirikiane nae .
Bogus mama yako.Yaani wewe jamaa ni bogus sijawahi kuona..umeandika utumbo tu hapo by the way sijawahi kuona ukiandika hoja za maana zaidi ya uharo
Bashe kaonyesha uwezo mkubwa sana katika hili bunge mkuu
Mimi ni upinzani na huyu Mwigulu nilikuwa namchukia sana, ila kwa sasa naona ni kama mtu ambaye amebadilika na kuacha ukada kama napeSio kuonekana tuu amekuwa akitatua changamoto nyingi saana za wizara ya afya na ameongeza kidogo discipline kwa watendaji wa afya akisaidiana na mzee wa field HK