Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

hapo labda Adadi , hao wengine kina bashe timu luwasa hao, alafu bashe ana uwezo gani jamani hebu tuache propaganda
Acheni huu uPUMABVU wakufikiria watu ambao walikuwepo kwenye System... ningekuelewa labda ungejipigia debe we we mwenyewe......ADADI atakuwa na Jipya gani kwenye Serikali au huna Taarifa kuwa aliwahi kuwa DCI kabla hajawa Balozi huko Zimbabwe....
 
Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.
Cha ajabu wengine haya wanayaona ni mabadiliko!!

Wakati timua timua ya mawaziri imeanza tangu enzi za Nyerere na haikusaidia kitu!!!
 
ndiyo maana mlitumia pesa nyingi hususani Wewe January umevuna sana kwenye kampeni iliyopita na sasa upo na kamati yako ya Ufundi mnapiga kazi Usiku na mchana upewe Wizara ya mambo ya ndani .
Kwani huyu hero ndie January?
 
Bashe : Good call Ila anaongea sense sana,Na Serikali zetu hazipendi watu wanaotumia common sense. Ingekuwa vizuri akawa naibu Waziri wa Afya.

Adadi Rajabu: Alikuwa muhanga wa system za serikali zilizopita kwa hiyo ana makando kando mengi. Kama ex Mkuu wa makosa ya Jinai lazima kuna ishu zitakuwa zilipita mikononi mwake kwa yeye kudhamiria aukitodhamiria kutokana na Hali ilivyokuwa wakati ule.

Ummy Mwalimu - Wizara ni nyeti Na iko miaka 200 nyuma. Nilifikiri alitakiwa awe Naibu halafu Kingwangwala awe Waziri Ila Magu alifanya Kinyume. Now she is struggling.

Makamba- Bado ana hangover ya mchakato wa Uraisi. Wenzake walisha move on. Ila yeye anaonekana bado ana mawazo. Hata kwenye hizi tumbua jipu nafiri yeye na Hussein Mwinyi ndio hawatumbua watu hadharani.
 
Wizara ya Ardhi wampatie mzungu uraia kisha apewe Ubunge wa kuteuliwa kisha awe Waziri wa Ardhi mshirikiane nae .
Kuna mambo mengine yanaumiza sana, mengine hata hayahitaji mpaka mkopo kutoka nje! Kuna maafisa wamejazana kwenye halmashauri ambao wanalipwa mishahara, kinachokosekana ni ubunifu, uamuzi, ufuatiliaji, usimamizi na kipaumbele.
Na ubunifu wa mambo kama haya hata hayahitaji Waziri mpaka atumbue watu!
 
Huyo bashe ndo yule walisema tim mamvi!?
Kam kweri ndio basi tim msoga itakuwa imepata pigo kubwa sana ukizingatia February nae out.
 
Sio tija kwa baadhi ya mawaziri kuendelea hasa huyu Bwana Madelu!
Kwa makamba ni sahihi tu make alinanga sana hata kabla ya utumbuaji..
 
Sio kuonekana tuu amekuwa akitatua changamoto nyingi saana za wizara ya afya na ameongeza kidogo discipline kwa watendaji wa afya akisaidiana na mzee wa field HK
Mimi ni upinzani na huyu Mwigulu nilikuwa namchukia sana, ila kwa sasa naona ni kama mtu ambaye amebadilika na kuacha ukada kama nape
 
Back
Top Bottom