Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Aiseee
kumbe ka Jan ni kabayaa hivyo basi kaondolewe mapema kasije kakaleta mambo ya wama hapo
 
Hivi kwanini Kigwangalah nae asitumbuliwe jamani?
Ile mikwara yake kuhusu tiba asilia za akina Juma zimeishia wapi?
Na bado wafanyakazi wa wizara husika wanafungiwa geti wakichelewa?
 
Nani kasema????Ummy Mwalimu is the Best of The Best...Mleta Uzi kajipangeee..Huyoo Dada Anazungukaa Usiku Na mchana.kutetea.kushughulikia tatizoo.la Dawa Na vikao.chungu nziima mpaka shingooo yyake nzurii yenyewe Pingilipingili unaanza.kunyooka kwa kazi..au Apae juu ya Paq ndo mumuonee...Mumuwacheeeee!!!Ummy is none to the second!!
 
Kwa maoni yangu ningependekeza tena Balozi Khamis kagasheki huyu Mheshimiwa anacheza na hisia zake kwanza then anachanganya na za wengine, Mh kagasheki ni mchapakazi akipewa mtu anaefanana nae, Balozi kagasheki alifanikisha mengi apewe huyo then Naibu apewe Major General James Mwakibolwa weee moto wake tutafurahi
 
Hata teua toka wapi maana CCM yote mbovu! na akimtoa makamba ndio majungu yatazidi na hapo ndio patakua patamu sasa
Kwa hayo majungu ya makamba hivyo hapaswi kutumbuliwa,kweli nchi ilikua imeoza mtu ana resist kwa majungu
 
 
Msiwe na haraka. Subirini.
 
Kweli jf ni kiboko, nakumbuka kuna member alikuja humu akasema aliyekuwa naibu katibu mkuu wa UN ,MIGIRO wakati wowote anatangazwa kuwa balozi uingereza,na kweli mda mfupo ikatangazawa hivyo. Yani huko ikulu hakuna siri
Ukikaa ile bichi mbele ya Ikulu unssikia yote yansyokua yanaongelewa ndani.
Ndiyo maana Kikwete alikua anapenda kufanyia kazi nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…