Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Namkubali sana jamaa.Bashe ana stahili kua waziri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkubali sana jamaa.Bashe ana stahili kua waziri
Yahona,mwigulu kakulipa buku ngapi?.mbona mishipa imekushupaa sana kuomba aachwe?panga pangua,mwigulu wamwache
kumbe ka Jan ni kabayaa hivyo basi kaondolewe mapema kasije kakaleta mambo ya wama hapoKwa hili nitamuunga mkono Rais Magufuli.... Mhagama na Ummy uwezo wao mdogo.... January kabaki kuuza sura na kutongoza mademu tu....
Nami nimeshashuhudia pale Protea akiwa na wafanyabiashara Haroon na Gonzaga wakipanga mipango ya kumhujumu Rais... Ni jumamosi iliyopita baada ya kutoka kwenye mkutano wa Bona Kaluwa
Nataka usawa katika mamlaka ya kuongoza nchi yetu!Sasa unataka uzanzibari au utendaji Kazi?
Basi tumpe Sadifa, hapo vipi umeridhika?Nataka usawa katika mamlaka ya kuongoza nchi yetu!
Kumbe una mawazo mazuri sana. Kwanza anatoka jimbo la Donge na ndie aliemrithi Ali Ameir. Atapata hata "home tuition" bureBasi tumpe Sadifa, hapo vipi umeridhika?
Duh ! mtanzania mwenye asili ya kisomali?Namkubali sana jamaa.
Kwa hayo majungu ya makamba hivyo hapaswi kutumbuliwa,kweli nchi ilikua imeoza mtu ana resist kwa majunguHata teua toka wapi maana CCM yote mbovu! na akimtoa makamba ndio majungu yatazidi na hapo ndio patakua patamu sasa
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Mbona mimi nina asili ya nchi fulani?Kwani kuwa na asili ya nchi tofauti kunamuondolea raia haki ya kuwa Mtanzania?Duh ! mtanzania mwenye asili ya kisomali?
Msiwe na haraka. Subirini.Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Ukikaa ile bichi mbele ya Ikulu unssikia yote yansyokua yanaongelewa ndani.Kweli jf ni kiboko, nakumbuka kuna member alikuja humu akasema aliyekuwa naibu katibu mkuu wa UN ,MIGIRO wakati wowote anatangazwa kuwa balozi uingereza,na kweli mda mfupo ikatangazawa hivyo. Yani huko ikulu hakuna siri