Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Huyu huyu Serukamba aliyekuwa anashida sebuleni kwa Lowassa akiwahudumia wageni kwa kuwabebea bilauri za Whisky mpaka atakuhumiwa kuliwa kiboga?
 
Kwa sasa hivi naweza kusema kwa mbaaali, Bashe anajitahidi kusimama nafasi ya Filikunjombe
 
Mbona mimi nina asili ya nchi fulani?Kwani kuwa na asili ya nchi tofauti kunamuondolea raia haki ya kuwa Mtanzania?
Acha hizo.
Sasa kwanza pigania lugha hiyo itoke kwenye kamusi ya Tanganyika.

Mbunge wangu kwenye bunge la Jamhuri ya Tanazania, Mhe. Turkey alipotajwa kwenye sakata la Sukari aliitwa " mtanzania mwenye asili ya Asia" na kauli hiyo ilikaririwa kwenye vyombo vya serikali na magazeti nchini. mkuki kwa nguruwe .......
 
Magufuli ateue waziri wa sukari tumechoka kununua sukari sh 6000 kilo moja.

Na mwezi ujao petroli ikiadimika ateuwe waziri wa Petroli, October majani ya chai yakiadimika ateuwe Waziri wa Majani ya chai, na viberiti, mbolea nk nk.... Hivyo hivyo ateuwe Mawaziri wake..! ... Duh Kazi Kweli Kweli ....
 
Kama yanahitajika mabadiliko ya kweli kabisa basi Rais aangalie kuchagua wabunge wa Upinzani ...wapo wenye uwezo mkubwa. Mara hii CCM ina wabunge wengi lakini hawafai kuwa mawaziri. Hata Rais ilimchukua muda mrefu kuunda baraza lake.
Ingekua vizuri akavinja kabisa baraza na kumtumbua Majaaliwa na Kumpa Nafasi hio Mh Zitto.
hII NAFASI ZITO NDIO PEKE INAMFAA KUIPELEKA TANZANIA YA VIWANDA. ANAYO VISION NA PASSION YA UONGOZI NA PIA NI MZALENDO ANA UCHUNGU NA NCHI YAKE.
Zito ataweza kweli kumsaidia Rais . Ndani ya CCM kwa mara hii sioni mwenye sifa ya kuwa PM .
 
Mtazamo wangu:
H Kingwangwala-apewe uwaziri wa Afya
January Makamba- Wanasema, "Keep your enemies closer". Kuna watu huwezi ku afford kuwaacha pembeni au idle.
Yaani huyo Waziri wa 'Dr'. Mwaka ndiyo akabidhiwe wizara!!!
You people are no serious kwa kweli. Kigwangallah ni mzigo.
 

Upo vizuri mzee
 
Simungi mkono Rais mpaka abadilishe katiba bila hivyo mtamunga mkono nyinyi msiona mbali mana mfumo ndio kikwazo kwa Rais
 
Wataje watatu tu wabunge wa upinzani, Zitto hawezi fanya maamuzi magumu na ya haraka, ye ni mzee wa kufuata taratibu by the book hata kama huo urasimu unakula nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…