jackymaster
New Member
- Apr 17, 2016
- 2
- 0
Huyu huyu Serukamba aliyekuwa anashida sebuleni kwa Lowassa akiwahudumia wageni kwa kuwabebea bilauri za Whisky mpaka atakuhumiwa kuliwa kiboga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa hivi naweza kusema kwa mbaaali, Bashe anajitahidi kusimama nafasi ya FilikunjombeKama umeshamwangalia huyu mtu akichangia bungeni utakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa ana kitu kichwani.watu kama hawa ndio inatakiwa wakae na JPM ambaye ameonyesha nia njema ya kubadilisha nchi hii.Huyu sio mtu wa kukubali kila jambo linalowekwa mezani,na anatetea kwa hoja.Binafsi namkubali sana
Sasa kwanza pigania lugha hiyo itoke kwenye kamusi ya Tanganyika.Mbona mimi nina asili ya nchi fulani?Kwani kuwa na asili ya nchi tofauti kunamuondolea raia haki ya kuwa Mtanzania?
Acha hizo.
Magufuli ateue waziri wa sukari tumechoka kununua sukari sh 6000 kilo moja.
Yetu macho kwa sauti ya komba atunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele tumeipenda wenyewe chaguo letu milele acha waisome Namba CCM mbele kwa mbele
Hivi mtu anaanzia wapi kumtema Ummy? Ikifikia hapo hii nchi itakua ni ya vichaa.Hata Mm siungi mkono Ummy kutumbuliwa. Bora angemtumbua hata Mwakyembe
Yaani huyo Waziri wa 'Dr'. Mwaka ndiyo akabidhiwe wizara!!!Mtazamo wangu:
H Kingwangwala-apewe uwaziri wa Afya
January Makamba- Wanasema, "Keep your enemies closer". Kuna watu huwezi ku afford kuwaacha pembeni au idle.
Kwa hili nitamuunga mkono Rais Magufuli.... Mhagama na Ummy uwezo wao mdogo.... January kabaki kuuza sura na kutongoza mademu tu....
Nami nimeshashuhudia pale Protea akiwa na wafanyabiashara Haroon na Gonzaga wakipanga mipango ya kumhujumu Rais... Ni jumamosi iliyopita baada ya kutoka kwenye mkutano wa Bona Kaluwa
Hii Ina ukweli? Au alikuwa anazushiwa tu.!Huyu huyu Serukamba aliyekuwa anashida sebuleni kwa Lowassa akiwahudumia wageni kwa kuwabebea bilauri za Whisky mpaka atakuhumiwa kuliwa kiboga?
huyu si mjukuu wa !Bashe kaonyesha uwezo mkubwa sana katika hili bunge mkuu
Kwa mwendo huu naamza kuona kwa mbaaali JPM kutoa mawaziri toka upinzani!
Wataje watatu tu wabunge wa upinzani, Zitto hawezi fanya maamuzi magumu na ya haraka, ye ni mzee wa kufuata taratibu by the book hata kama huo urasimu unakula nchi.Kama yanahitajika mabadiliko ya kweli kabisa basi Rais aangalie kuchagua wabunge wa Upinzani ...wapo wenye uwezo mkubwa. Mara hii CCM ina wabunge wengi lakini hawafai kuwa mawaziri. Hata Rais ilimchukua muda mrefu kuunda baraza lake.
Ingekua vizuri akavinja kabisa baraza na kumtumbua Majaaliwa na Kumpa Nafasi hio Mh Zitto.
hII NAFASI ZITO NDIO PEKE INAMFAA KUIPELEKA TANZANIA YA VIWANDA. ANAYO VISION NA PASSION YA UONGOZI NA PIA NI MZALENDO ANA UCHUNGU NA NCHI YAKE.
Zito ataweza kweli kumsaidia Rais . Ndani ya CCM kwa mara hii sioni mwenye sifa ya kuwa PM .