Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Simungi mkono Rais mpaka abadilishe katiba bila hivyo mtamunga mkono nyinyi msiona mbali mana mfumo ndio kikwazo kwa Rais
Kwa hiyo ni kifungu kipi unafikiri kitabadili mfumo?? Kero yako ni nini unayodhani itatatuliwa na katiba mpya?? Au umekariri tu kuwa tunahitaji katiba mpya??
 
Nafurahia. Wakati wa kupiga siasa umekwisha Tanzania. Sasa unahukumiwa kwa matokeo, si nani unamjua au una uwezo gani wa kuongopa.
 

Itakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanyua mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.
 
Kama hamumjui JPM subirini. ...amesema hapa kazi tu.

Sasa kaeni mnatabiri flani haguswi alafu awashangaze.
 
Sisiem ina watu wachache wanao aminika, ndiyo maana safu ya mawaziri ni patapotea!
 
Hao wanafiki Achana nao kabisa
 
Mmm,sawa kwakuwa sisi wengine tulishashauri kwamba Makamba haikuwa choice nzuri kwa serikali ya JPM na Jenister naye elimu yake and consequently uwezo wake has much to be desired.Mwakyembe na Maghembe nao wangeenda I don't see much out of them.Umi namhurumia kama ataondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…