Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
kazi ipi?Mwigulu anafanya kazi vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi ipi?Mwigulu anafanya kazi vizuri
Kwa hiyo ni kifungu kipi unafikiri kitabadili mfumo?? Kero yako ni nini unayodhani itatatuliwa na katiba mpya?? Au umekariri tu kuwa tunahitaji katiba mpya??Simungi mkono Rais mpaka abadilishe katiba bila hivyo mtamunga mkono nyinyi msiona mbali mana mfumo ndio kikwazo kwa Rais
Kama ni waliokua kwa lowasa si hata Bashe? Au!Huyu huyu Serukamba aliyekuwa anashida sebuleni kwa Lowassa akiwahudumia wageni kwa kuwabebea bilauri za Whisky mpaka atakuhumiwa kuliwa kiboga?
Simungi mkono Rais mpaka abadilishe katiba bila hivyo mtamunga mkono nyinyi msiona mbali mana mfumo ndio kikwazo kwa Rais
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Mwija ndio Nani ??Mwija ndani ya mambo!!?
Hao wanafiki Achana nao kabisaKama yanahitajika mabadiliko ya kweli kabisa basi Rais aangalie kuchagua wabunge wa Upinzani ...wapo wenye uwezo mkubwa. Mara hii CCM ina wabunge wengi lakini hawafai kuwa mawaziri. Hata Rais ilimchukua muda mrefu kuunda baraza lake.
Ingekua vizuri akavinja kabisa baraza na kumtumbua Majaaliwa na Kumpa Nafasi hio Mh Zitto.
hII NAFASI ZITO NDIO PEKE INAMFAA KUIPELEKA TANZANIA YA VIWANDA. ANAYO VISION NA PASSION YA UONGOZI NA PIA NI MZALENDO ANA UCHUNGU NA NCHI YAKE.
Zito ataweza kweli kumsaidia Rais . Ndani ya CCM kwa mara hii sioni mwenye sifa ya kuwa PM .