Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

KAZI Kweli kweli, nikisoma comments sometimes nashindwa kuelewa, kila mtu hawezi sijui vigezo gani sometimes watu wanatumia kujenga hoja. ukiangalia wanao judge wenzao hawana uwezo sijui kama nao wanajitambua. Siasa za sasa naona zimejaa wivu, umaskini na kukata tamaa.
 
Mimi nadhani Makamba alikuwa anategemea wizara muhimu lkn akawa dissapointed ndio maana kama yuko hayuko hivi.
 
Namuomba mhe. Rais kwa vyovyote vile asimteue Adadi kuwa waziri wa ndani. Wakati akiwa Dci alishiriki kufunga kamera mitaani mfano Samora ambazo hazifanyi kazi
 
ngoma inogile hiyo. natamani sana uchaguzi ungelikuwa wiki ijayo wa 2020.mi najua yanga anacheza vizuri sana lakini natamani timu yangu nayo ichukue ubingwa.huenda tukafima fainali na ikawa faida na shangwe kwa mtanzania.ukawa oyee
 
Bashe ni mvumilivu, ni jasiri haogopi, Nadhani anafaa kuwa Waziri, amenifurahisha sana jinsi alivyokata ishu katika bunge hili.

Huyu dogo Makamba ni strategist mzuri lakini alinikera alivyoanza kumsema vibaya JK mtu aliyemmentor na kumsaidia kufika hapa alipofika. Akiwekwa pembeni siwezi kulia machozi.

Kuhusu Mwigulu, huyu ni mzalendo wa Ukweli na kamanda wa ukweliukweli, alijiuzuru unaibu katibu mkuu wa CCM bila kujali kuwa ana slim chance ya kupitishwa na CCM kugombea uraisi.

Ni kweli Mh.Mwigulu ana uzalendo sana, binafsi naona ingekuwa vizuri kama angehamishiwa wizara yake ya zamani i.e Wizara ya fedha.

Wizara ya Kilimo ateuliwe Waziri
aliye somea fani ya Kilimo mtu kama huyo si rahisi kudanganywa na wajanja, binafsi naona Prof.Maghembe au Prof. Tibaijuka ndio wangepewa Wizara ya Kilimo kutokana na background zao za fani ya Kilimo vile vile exposure yao kwenye International fora, nipendekezo tu.
 
It is just another selfishly structured profession! Madaktari huamini wana akili kuliko wengine, Hii ikitokana na watu kuwanyenyekea wanapowafuata. Ni vizuri kuwanyenyekea maana tunawafuata tukiwa na matatizo.

Wizara haihitaji ugunduzi wowote! Nchi nyingi duniani zilishaweka mfumo unaofanyakazi. Hakuna haja ya kuumiza vichwa, ni kuiga tu! Tunapogoma kuiga ndo maana hospitali za Palestina zinazopigwa mabomu kila siku zina hali nzuri kuliko Muhimbili, kwenye amani na utulivu.
Kwakweli sijasema madaktari wanaakili kuliko wengine, ninachoongelea hapa ni uwezo wa waziri kuweza kubalance uwezo wa wizara yake ikiwa pamoja na budget katika kutatua matatizo ya wizara, na hali hiyo inataka uwezo wa kukaa na kuafikiana. Waziri anapokwepa hoja ni kichekesho. Hizo nchi nyingiene wizara za afya lina fungu kubwa na uwezo wa kununua vitendea kazi, pia mishahara na posho za madaktari ziko wazi.
 
Mkuu ule uzi wako wa Mwijage kuchukua nafasi ya Kitwanga na Masele kuteuliwa waziri wa viwanda mbona mods wameufuta fasta??

Ulikurupuka??
Wewe ni mgeni JF au ni mkongwe ila kichwani hauna kitu? Maana yake kuna mada inafanana na yangu ilishatangulia , hivyo ameuunganisha na mada hiyo. Jiongeze acha kukurupuka kama Nyumbu
 
Msije mkashangaa pale RIDHIWANI KIKWETE atakapowekwa hapo kati punde baraza litakapobadilishwa
 
Kwakweli sijasema madaktari wanaakili kuliko wengine, ninachoongelea hapa ni uwezo wa waziri kuweza kubalance uwezo wa wizara yake ikiwa pamoja na budget katika kutatua matatizo ya wizara, na hali hiyo inataka uwezo wa kukaa na kuafikiana. Waziri anapokwepa hoja ni kichekesho. Hizo nchi nyingiene wizara za afya lina fungu kubwa na uwezo wa kununua vitendea kazi, pia mishahara na posho za madaktari ziko wazi.
Uko sahihi! Serikali inabidi pia ifahamu kwamba siasa kunufaika na fungu kubwa la pesa za serikali ni upuuzi wa juu sana. Kwa nini tusiweka asilimia kwa afya na wizara zingine? Tumeishia kulipa ruzuku kwa vyama tuuuu!. Miaka si zaidi ya 30 tangu tuanze multiparty politics, leo tuna wanasiasa wengi kuliko waalimu shule za sekondari.
Wizara hii huleta ugumu kwa tabia ya madaktari kula njama za kukataa mtu yeyote asiye daktari kuwatawala. Hata Muhimbili imekuwa ni hivyo na bahati mbaya alipoingia nesi pia MD hawakuona kama anastahili kuwatawala. Kwa ujumla kuna kujiona bila kujiuliza wengine wanaosifika dunia hii. Hata ndani ya taaluma ya afya, MD wanadhani wanawazidi manesi wafamasia na dentists! Shame!

They are full of nonsense! Sijui kwa nini Kikwete hakumjaribu Magufuli wakati ule aingie wizara hiyo. Tunawahitaji kama tunavyowahitaji waalimu wa kindergarten, lakini wao wana abuse need zetu.
 
You can fault Ummy Mwalimu for her limitations but there is enough blame to be shared kwenye hiyo wizara na kwa sehemu kubwa ni kwa wataalamu wa mifumo kufikia malengo.

Binafsi sikuwahi kuona huyu dada kama hiyo wizara kachaguliwa kwa merit given its challenges na umuhimu wake lakini kaonyesha kujali na jitihada isipkuwa uwezo unamkwamisha na timu nzima iliyopo juu wizarani ni bomu.

Hakuna sera kuu na mikakati yoyote kwenye kulenga chochote zaidi ya maduka ya dawa na dirisha la wazee; na hizo ni kama 1% za changamoto za efficient ya sector nzima, directives zinapangwa kutoka bottom up badala ya top down unajiuliza hiyo national universalism itatoka wapi. Matokeo sehemu azina ambulance waziri anasema hoo nyie mbona amkuweka kwenye vipaumbele vyenu hili nalo linataka kipaumbele au necessary just shows the limitations ya watu wengi humo ndani sasa kama unafikiria changamoto za staff turnover kutotaka kwenda vijijini au motisha zitaboreshwa na watu hawa utasubiri sana ata ukimtoa huyu Ummy Mwalimu.

Sijui sehemu zinigne azina wataalamu, understaffed at 49% nationally, mara kila mtu ndani ya TAMISEMI naye anadhani anaweza amuru sector ya afya na kufanya ziara za kushtukiza wenyewe kuanzia waziri, mkuu wa mkoa mpaka madiwani na kila mtu anadhani anajua nini kilitakiwa kifanyike.

Tatizo lingine ni kwamba serikari za mitaa hawana directives zozote za wizara nini lazima wahakikishe kinafanyika. Sasa tena ukiongeza na hii wizara imewekwa na huduma zingine za jamii na protection ya wazee na watoto halafu hakuna partnership frameworks zozote locally za mashule, polisi na huduma zinazowagusa hawa watu.

In short the whole thing ni kama kitabu kuelezea matatizo ya afya na trust me hiyo siyo shughuli ya daktari wala nesi kuna wataalamu wengine kabisa ndio wanasimamia mifumo ya afya daktari ni stakeholder ambaye inabidi umuingize kwenye kupanga sera kutetea maslahi yake lakini si mtaalamu wa mifumo ya afya.

Kwa hivyo kumlaumu Ummy Mwalimu ni kama kumuonea tu ukiangalia kwa undani zaidi tatizo la msingin linaanzia kwenye safu ya government senior civil servant wa sector. Wizara aina ata regulator wa health services, wala monitoring agencies wa vitu wanavyopigia kelele kila siku kuhakikisha vinasimamiwa ina maana hata huko mahospitalini kutakuwa na policy variations jinsi wanavyofanya kazi kufikia malengo ya wizara sijui local government, hakuna legislation zozote kufanikisha tartgets za WHO policies ata hao wazungu wanaendesha na sera za hao jamaa, tatizo ni uwezo wa wengi ambao wanatakiwa kumsaidia kabla kumfikia Ummy Mwalimu anaendesha wizara kama gari bovu.
 
Uko sahihi! Serikali inabidi pia ifahamu kwamba siasa kunufaika na fungu kubwa la pesa za serikali ni upuuzi wa juu sana. Kwa nini tusiweka asilimia kwa afya na wizara zingine? Tumeishia kulipa ruzuku kwa vyama tuuuu!. Miaka si zaidi ya 30 tangu tuanze multiparty politics, leo tuna wanasiasa wengi kuliko waalimu shule za sekondari.
Wizara hii huleta ugumu kwa tabia ya madaktari kula njama za kukataa mtu yeyote asiye daktari kuwatawala. Hata Muhimbili imekuwa ni hivyo na bahati mbaya alipoingia nesi pia MD hawakuona kama anastahili kuwatawala. Kwa ujumla kuna kujiona bila kujiuliza wengine wanaosifika dunia hii. Hata ndani ya taaluma ya afya, MD wanadhani wanawazidi manesi wafamasia na dentists! Shame!

They are full of nonsense! Sijui kwa nini Kikwete hakumjaribu Magufuli wakati ule aingie wizara hiyo. Tunawahitaji kama tunavyowahitaji waalimu wa kindergarten, lakini wao wana abuse need zetu.
Ninaelewa superiority walionayo madaktari, kwanza hata insurance cover kwa wao kupractice ni kubwa kulinganisha na nurse or pharmasist, sina uhakika kwa TZ. Tuache hili lakini umewahi kufikiria dereva wa daladala aendeshe basi bila kondakata hata petrol station bila mhudumu wa kujaza mafuta. Akifika petrol station dereva asisimame ajaze mafuta, afike mahali asimame achukue nauli. Hii ni picha ndogo ya madaktari bila nurses wala pharmasists.
 
Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.
We ungefanyeje?
 
It is just another selfishly structured profession! Madaktari huamini wana akili kuliko wengine, Hii ikitokana na watu kuwanyenyekea wanapowafuata. Ni vizuri kuwanyenyekea maana tunawafuata tukiwa na matatizo.

Wizara haihitaji ugunduzi wowote! Nchi nyingi duniani zilishaweka mfumo unaofanyakazi. Hakuna haja ya kuumiza vichwa, ni kuiga tu! Tunapogoma kuiga ndo maana hospitali za Palestina zinazopigwa mabomu kila siku zina hali nzuri kuliko Muhimbili, kwenye amani na utulivu.
Umeongea point mkuu.
 
Back
Top Bottom