kiliochangu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 1,152
- 883
KAZI Kweli kweli, nikisoma comments sometimes nashindwa kuelewa, kila mtu hawezi sijui vigezo gani sometimes watu wanatumia kujenga hoja. ukiangalia wanao judge wenzao hawana uwezo sijui kama nao wanajitambua. Siasa za sasa naona zimejaa wivu, umaskini na kukata tamaa.