Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Makamba na ummy awatoki ili kulinda uhai wa chama, pia c rahc kufanyika mabadliko makubwa ivo kwa sasa, ata letz wait and see...
 
Wizara ya afya inahitaji mtu mwenye akili, uelewa, uwezo wa kujenga hoja na busara. Uwe na uwezo wa kuelewa matatizo ya madaktari ambao ni wasomi, kuweza kubalance deliverance and performance pia working conditions. Kama huna uwezo mkubwa wa kufikiri utaona kama wanakuchallange.
 
Yupo anaitwe LT general meela
 
Mambo ya ndani haistahili kubebwa na mtu aliyekuwa askari kwa aina yoyote ile. Watu hao huishia kuleta mgogoro wa seniority na kwa kweli wana mazoea mabaya ya kazi yao ya nyuma.
 
Charles Mwijage ameshateuliwa Waziri wa mambo ya Ndani. Confirmed

Pia Stephen Masele ameteuliwa kwenda Masoko Viwanda na biashara.
mwijage alistahili na anafaa kubaki ktk wizara hii ya viwanda kumutoa pale kwa serikali inayotaka kujenga viwanda haifai,

kubadilisha mawazili kila wakati ktk wizara hii sioni kama ni sahihi.
 

Nakubali kwa DCI Mstaafu Adadi Rajabu kuchukua nafasi ya kitwanga ana fiti kwa asilimia 100%
 
It is just another selfishly structured profession! Madaktari huamini wana akili kuliko wengine, Hii ikitokana na watu kuwanyenyekea wanapowafuata. Ni vizuri kuwanyenyekea maana tunawafuata tukiwa na matatizo.

Wizara haihitaji ugunduzi wowote! Nchi nyingi duniani zilishaweka mfumo unaofanyakazi. Hakuna haja ya kuumiza vichwa, ni kuiga tu! Tunapogoma kuiga ndo maana hospitali za Palestina zinazopigwa mabomu kila siku zina hali nzuri kuliko Muhimbili, kwenye amani na utulivu.
 
Kwan yy siye ccm
 
Una maana Makonda atapewa Ubunge wa kuteuliwa kisha atakuwa Waziri wa mambo ya ndani au ??
Huu ndiyo wakati wa maono yangu kutimia,jamaa ni mbunifu,muelewa,na pia uwezo wake ni mkubwa kuliko nafasi aliyonayo ya ukuu wa mkoa,hope he is going to be one of the minister..............im telling u Makonda atashanagaza wengi
 
Uongozi wa JPM siyo wa kubashiri kama ule JK, aibu yako sasa na mada yako ya majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…