Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Umesema mengi sana! Yanatosha. Tatizo ni huu mfumo wa local gvt. Ni sekta zote huko kwenye local govt. hazina connection na serikali kuu. Unawezaje kukuza elimu ya msingi inayosimamiwa na local govt? au kilimo? Sera ziko wizarani Dar. Mkoani hakuna msimamizi wa sera, halafu ukute Halmashauri ndo isimamie sera wakati unaelewa uwezo wa wataaamu wake uko chini.
Vijana mnakuwa na hoja nzuri lakini mnashindwa kujishughulisha kufaham namna Serikali inavyofanya kazi...

Msimamizi wa sera za Serikali Kuu ngazi ya Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na ngazi ya Wilaya ni Mkuu wa Wilaya na ngazi ya Tarafa ni Afisa Tarafa.
 
Namshauri Magufuli atuletee katiba mpya alafu tuwe na kipengele cha kuruhusu hata wabunge wa upinzani kuteuliwa uwaziri
 
Vijana mnakuwa na hoja nzuri lakini mnashindwa kujishughulisha kufaham namna Serikali inavyofanya kazi...

Msimamizi wa sera za Serikali Kuu ngazi ya Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na ngazi ya Wilaya ni Mkuu wa Wilaya na ngazi ya Tarafa ni Afisa Tarafa.
Vijana! Nani kasema sisi ni vijana? Unadhani JF ni sehemu ya vijana?
Kwa maoni yako unaona kabisa mkuu wa mkoa anaweza akasimamia sera? Badala yake hujasikia wakisimamia ilani ya uchaguzi? Unaweza kusimamia sera wakati wewe siyo mtaalamu? Kama wewe ni mzee ni wale wanaoburuzwa kwa maneno bila kujiuliza.
 
Njo
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.

Njozi zako tu hizo huna lolote!
 
Vijana mnakuwa na hoja nzuri lakini mnashindwa kujishughulisha kufaham namna Serikali inavyofanya kazi...

Msimamizi wa sera za Serikali Kuu ngazi ya Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na ngazi ya Wilaya ni Mkuu wa Wilaya na ngazi ya Tarafa ni Afisa Tarafa.
On matters which are under the control of the central government na hapo ni sera husika pia zinatokea huko huko kama frameworks ya nini kinatarajiwa; sasa unapoziambia halmashauri zipange mikakati yake who is directing who kwenye hizo sera? Si ndio maana vipaumbele sehemu nyingi za sera zinapishana Tanzania.

Hii ndio kama juzi Mmbunge anauliza mbona wakuu wa wilaya na mikoa wanaingilia mipango inayopangwa na madiwani, majibu ya naibu waziri wa TAMISEMI ni kwa sababu serikari inatekeleza ilani ya CCM fine hakuna anaebisha lakini ilani si inatakiwa iwekewe central policies pia kwanza na madiwani/serikari za mitaa wajue kipi ni mwongozo wa kitaifa na wao wana dili na devolved issues zipi za serikari za mitaa katika kuboresha maeneo yao.

Ndio maana watu wanasema kila kitu ovyo chanzo system mbovu hivi ukishawaambia hospitali wakope kujenga jengo lao wanaloliitaji na unajua watakuwa deni kuna uwezekano kweli wakuweka mfumo unaolingana nationally wa malipo ya huduma zilizo sawa wanazotoa kati ya taasisi yenye deni na isiyo na madeni?.

Matatizo yanaanzia wizarani hakuna sera nyingi za kitaifa on matters which need regulations ili ziwe sawa kitaifa hata kama serikari za mitaa ndio watekelezaji wanazielewa wao wanajukumu gani na nini kinatarajiwa na hapa ndio tatizo lilipo.
 
Kama ni kweli basi itakuwa balaa, maana baraza lilitangazwa kwa kuchelewa sana, wakati Mh raisi akifanya umbembuzi na wasifu wa kila mbunge, sasa ndani ya miezi miwili anavunja baraza
 
NAOMBA TETESI HII ISIJE IKAWA KWELI, mwijage aachwe Hapo hapo , mambo ya ndani atafutwe mwingine . Bora hata Mwigulu KULIKO kumpa masele viwanda ...I mean bora Mwigulu aende mambo ya ndani japokuwa adadi Rajabu ana uzoefu Na Nafasi hiyo
 
Itakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanya mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia ktk wizara ya mambo ya ndani. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.
Basi amteule Brg General Mstaafu Dr Yadon kohi kuwa Naibu Waziri na Balozi Khamis kagasheki kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
 
A
Itakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanya mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia ktk wizara ya mambo ya ndani. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.
Angalia lugha yako mkuu sio busara kutumia lugha au neno UPUUZI kwa mamlaka ya uteuzi wa Mh Rais
 
Back
Top Bottom