Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule comedian chapombeHiv
Masele ndo nani?????
Huu uzi ulidumu kwa sekunde halafu ukaondolewa. Uliletwa na janetL
Lete source
Vijana mnakuwa na hoja nzuri lakini mnashindwa kujishughulisha kufaham namna Serikali inavyofanya kazi...Umesema mengi sana! Yanatosha. Tatizo ni huu mfumo wa local gvt. Ni sekta zote huko kwenye local govt. hazina connection na serikali kuu. Unawezaje kukuza elimu ya msingi inayosimamiwa na local govt? au kilimo? Sera ziko wizarani Dar. Mkoani hakuna msimamizi wa sera, halafu ukute Halmashauri ndo isimamie sera wakati unaelewa uwezo wa wataaamu wake uko chini.
Vijana! Nani kasema sisi ni vijana? Unadhani JF ni sehemu ya vijana?Vijana mnakuwa na hoja nzuri lakini mnashindwa kujishughulisha kufaham namna Serikali inavyofanya kazi...
Msimamizi wa sera za Serikali Kuu ngazi ya Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na ngazi ya Wilaya ni Mkuu wa Wilaya na ngazi ya Tarafa ni Afisa Tarafa.
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Mods mpige ban ya miaka 100 huyu...!! Huu ni upuuzi..!!
Masele ni wa kumpa UWAZIRI..? Haya matusi kabisa..
On matters which are under the control of the central government na hapo ni sera husika pia zinatokea huko huko kama frameworks ya nini kinatarajiwa; sasa unapoziambia halmashauri zipange mikakati yake who is directing who kwenye hizo sera? Si ndio maana vipaumbele sehemu nyingi za sera zinapishana Tanzania.Vijana mnakuwa na hoja nzuri lakini mnashindwa kujishughulisha kufaham namna Serikali inavyofanya kazi...
Msimamizi wa sera za Serikali Kuu ngazi ya Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na ngazi ya Wilaya ni Mkuu wa Wilaya na ngazi ya Tarafa ni Afisa Tarafa.
Hivi sheria ya makosa ya mtandao ni FACEBOOK tu?
yule comedian chapombe
Janet gani huyo halafu mkweli okHuu uzi ulidumu kwa sekunde halafu ukaondolewa. Uliletwa na janet
Basi amteule Brg General Mstaafu Dr Yadon kohi kuwa Naibu Waziri na Balozi Khamis kagasheki kuwa Waziri wa Mambo ya NdaniItakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanya mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia ktk wizara ya mambo ya ndani. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.
Angalia lugha yako mkuu sio busara kutumia lugha au neno UPUUZI kwa mamlaka ya uteuzi wa Mh RaisItakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanya mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia ktk wizara ya mambo ya ndani. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.