Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Thibitisha isiwe kuwa ni ramli!!
 
Kwa hili nitamuunga mkono Rais Magufuli.... Mhagama na Ummy uwezo wao mdogo.... January kabaki kuuza sura na kutongoza mademu tu....

Nami nimeshashuhudia pale Protea akiwa na wafanyabiashara Haroon na Gonzaga wakipanga mipango ya kumhujumu Rais... Ni jumamosi iliyopita baada ya kutoka kwenye mkutano wa Bona Kaluwa
Ajol wewe ni mhudumu wa Protea hotel?
Maana kila uzushi watu wanaidakia na kuanza kuushabikia. Mostly like ni mambo ya kutunga ili kufitinisha watu na rais.
Najaribu kufikiri tu, How waziri mwandamizi afanye haya tena katika mazingira ya wazi wazi.
1/Afanye mikutano na wafanyabiashara ili kumhujumu rais.
2/Mkutano huo uwe na wapinzani pia.
 
Wabongo wazushi sana.
 
Bashe ni mvumilivu, ni jasiri haogopi, Nadhani anafaa kuwa Waziri, amenifurahisha sana jinsi alivyokata ishu katika bunge hili.

Huyu dogo Makamba ni strategist mzuri lakini alinikera alivyoanza kumsema vibaya JK mtu aliyemmentor na kumsaidia kufika hapa alipofika. Akiwekwa pembeni siwezi kulia machozi.
Ningependa muuelewe ukweli huu, Msomali kamwe hawezi kuwa waziri Tanzania ya leo, kwa njaa zenu huko majimboni endeleeni tu kuwapa ubunge mamluki.

Huyu Bashe ni kibaraka wa Rostam, hatuwezi kumrudisha Rostam serikalini kwa mlango wa nyuma.

Ni UOTE="Kete Ngumu, post: 16261811, member: 260180"]Bahari imechafuka sinauhakika kama Meli itafanikiwa kutia nanga salama.[/QUOTE]
Ni upepo tu
 
Kiukweli Mhagama hana sifa ya kuwa waziri, hata ummy. Ila makamba ana uwezo mkubwa ila hana maadaili hata kidogo, hafai kuwa kiongoz kwenye serekali ya magufuli.

Mkuu acha ushabiki ummy mwalimu mpaka sasa kapiga hatua ni kiongozi anaesikiliza watu wa chini labda mtizamo wako maana umjui vizuri
 
Ningependa muuelewe ukweli huu, Msomali kamwe hawezi kuwa waziri Tanzania ya leo, kwa njaa zenu huko majimboni endeleeni tu kuwapa ubunge mamluki.

Huyu Bashe ni kibaraka wa Rostam, hatuwezi kumrudisha Rostam serikalini kwa mlango wa nyuma.

Ningependa muuelewe ukweli huu, Msomali kamwe hawezi kuwa waziri Tanzania ya leo, kwa njaa zenu huko majimboni endeleeni tu kuwapa ubunge mamluki.

Huyu Bashe ni kibaraka wa Rostam, hatuwezi kumrudisha Rostam serikalini kwa mlango wa nyuma.

Je msomali anafaa kuwa Mbunge?
 
Tuondolee uchuro, hakuna msomali anayeweza kuwa waziri Tanzania ya leo, BTW Bashe ni kibaraka wa Rostam Aziz mzee wa Panapa paper hatuwezi kuweka maliasili zetu rehani ati Bashe awe waziri wa maliasili ili amgawie vitaru Rostam Aziz ambaye anamiliki kampuni za uwindaji, tuondoleeni uchuro huu Tafadhari, Rais si mpuuzi kama mnavyodhani na system iko macho na tunafanyanayo kazi bega kwa bega na taarifa zote sahihi tunazifikisha.

Ndio maana wengine hatuna muda wa makelele kwa sasa tumeshika rimoti tu.

One down next Ramadhani Dau.
Yaani wewe jamaa ni bogus sijawahi kuona..umeandika utumbo tu hapo by the way sijawahi kuona ukiandika hoja za maana zaidi ya uharo
 
Mtazamo wangu:
H Kingwangwala-apewe uwaziri wa Afya
January Makamba- Wanasema, "Keep your enemies closer". Kuna watu huwezi ku afford kuwaacha pembeni au idle.
 
Njaa inamsumbuwa huyo achana naye. Hawa ndio wanaishi kwa kuboomboom watu mtaji wao ni kuipamba hata maiti ili ionekane hai.
Naona unasukumwa na chuki nothing else yaani wewe utakufa na chuki zako ukiwa muflis hapa duniani
 
Back
Top Bottom