Elections 2015 Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!

Hivi kipaumbele kingekuwa kuwekeza katika nyumba au kuwekeza katika watu.Inawezekana CHADEMA kingewekeza kwenye nyumba kuliko watu,kazi waliyoifanya kwa ustadi mkubwa hata huyo Lowasa labda asingejiunga nao.Tafakari tena.
 
Unaweza kukuta wewe Pasco na bahasha zote lakini huishi kwenye nyumba ya "hadhi" yako... Tena inaweza kuwa ya kupanga...

ahhh acha utani,,pasco sio cheap ka unavyofikiri,,jamaa yuko vizuri na anaishi kwenye moja ya suburbs za hali ya juu hapa dsm
 

Mkuu hizi kashfa zinaletwa na kitu kimoja, jirani uliyemwita choko, leo umemkaribisha ukamkabidhi nyumba, mke na watoto unadhani ataacha kukudharau?

Ndiyo haya maneno ataanza kusema mimi itabidi niihamishe hii familia kutoka kwenye hii nyumba kwa sababu haina hadhi ya mimi kulala humu, na mengine kibao, ili mradi akushushe thamani kama vile ulivyomshusha kipindi kile unamwita choko.
 
Bilioni kumi watakodi Ofcom mpya ndio mana wamenunuliwa na makapi aibu kumbe majigambo pesa mfukoni
 
Hivyo unavyoviita vipaombele vibovu ndiyo vilivyoifanya CHADEMA kuwa hapo ilipo na ndiyo vilivyomfanya Mh. Lowassa kuja na kuomba ridhaa ya kugombea URAIS kupitia baada ya kukatwa kimizengwe kule CCM.

Nafikiri CHADEMA wamemkaribisha EL si eti aje kuwajengea ofisi na kuwaletea fedha , kinachotakiwa ni UKOMBOZI kwa kweli kwa wananchi wa Tanzania na wameona kumtumia Lowassa malengo yatafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyokuwa imekusudiwa.


 
Ina maana Lowasa kakabidhiwa chama sasa, hata kama ana roho nzuri kiasi gani hayo ni matusi makubwa kuwahi kutukanwa chama cha siasa.

Lugha unayotumia umeendelea kutukana, eti hawakua na mpango mzuri wa matumizi ya Ruzuku angalieni nyie wageni wa Chadema msihodhi chama.
 

Usipanic hayo aliyoyasema yachunguze Pasco ni mtu wa karibu sana na Lowasa hicho ndicho alichokiona Tajiri mkubwa mwenye majumba mengi yenye hadhi Dar.

Mwl alimkataa Lowasa
 
Sometimes ni vigumu "kumsoma" vizuri huyu Pasco wa JF.
 


Kwa kwa kwa kwa kwaaaa

Hilooo roho zitawauma sana ikiwezekana mmeze chupaaa

Ingekua kwenu si ndo ingekua kicheko??

Acheni wivu wa kike ACT
 
Nakubali mkuu. Naona jamaa kapewa CHAMA akitumie atakavyo...
 

Well said
 
Last edited by a moderator:


Ni nani mtoa leseni wa hivyo Vyombo? Ni Fisadi UKAWA/Lowasa pia?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…