Kwa hiyo na nyie mnamkana leo kwa sababu tu kaja CHADEMA, mbona hamjamfukuza uanachama miaka yote hiyo huku mkijua fika kwana ni Fisadi na Mwalimu kumkataa.Usipanic hayo aliyoyasema yachunguze Pasco ni mtu wa karibu sana na Lowasa hicho ndicho alichokiona Tajiri mkubwa mwenye majumba mengi yenye hadhi Dar.
Mwl alimkataa Lowasa
CHADEMA kwa mara ya kwanza tunakwenda IKULU, tunakwenda kuwa chama tawala.... Hatua ya kwanza baada ya kuingia ikulu kwanza ni kurejesha majengo yote yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi na viwanja vyote vya michezo ambayo ccm imejimilikisha kwa wananchi. vyote vitakuwa mali ya umma.
Hata bila Lowassa CHADEMA tungejenga ofisi na kumiliki media
Pasco vipi slaa kweli kaonndoka CHADEMA?