Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Katika hali ya kushangaza, Waziri wa zamani wa Utalii Hamis Kigwangwala amejitokeza hadharani kutaka jamii iwapime viongozi kwa utendaji badala ya Uchawa . Tunampongeza sana Mh huyu kwa kuliona jambo hili .

Bali wengi tunajiuliza , maono haya ya Kigwangwala yanatoka moyoni kweli au ni kwa vile mfumo umemtenga?

 
Huyu mfumo umemtupq hana lolote![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subiri apewe bakuri la asali,utamuona!
 
Hayo wala si mabadiliko... bali ni mageuzo. Akipewa shavu atajigeuza upande mwingine!
 
anatoka kuwa chawa anaelekea kuwa kunguni na halafu baadae ya muda atakua mweupe kama pamba
 
Tabia ya unyumbu. Unyumbu ni tabia ya waliobeba dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi zao kwasababu ya kujipendekeza ama kwajili ya kutumikia matakwa ya kundi fulani
 
Chadema hakuna chawa? Mfano, wewe sio chawa wa Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…