Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

Weka maneno yake yote na siyo kuleta kaeneo ka kupigia propaganda.
Yaani kama aliongea "gazeti", basi unataka liwekwe hapa hilo gazeti lote kama ufanyavyo wewe!!??
Uchawa ni upungufu/ukosefu wa akili za kuweza kujitegemea.
Pole sana kwa kukosa/kupungukiwa akili.
 
Kigwa kashachoka hataki tena UteuziπŸ˜†πŸ˜†
 
Viongozi wengi wa sasa waliyoko mamlakani wote tunawasikia na kuwaona, na hata wale waliokuwa mamlakani tuliwasikia na kuwaona.
Ukisikia au ukiona hayuko mamlakani akatoa kauli yoyote ya wananchi kwanza nikutafuta kauli nyingine nyingi za nyuma akiwa mamlakani. Unaanza kutafuta ukweli wa kile anachokisema kama kinatoka moyoni au kinasukumwa na remote hapo nyuma kwa kuona nafasi yake kwa sasa na wananchi wanamuongeaje na amekaribia wapi kea sasa. Kumbukeni kauli kama hizo tutazisikia sana kwao kwa kuwa zinakuwa na misukumo mikubwa miwili mika tunakaribia wapi, mbili sina nafasi ya kumuimbia bosi wimbo autakao. Tuwe tunatafakari sana kwa ndg zetu kama hawa.
 
huyu hanaga akili tangu aondoshwe kuwa wazir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…