Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

nauliza, hivi kwa nini TBC ambayo ni ya taifa huwa hairushi mechi live za mashindano ya VPL kama wafanyavyo Azam?
 
Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............

Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Hiyo ni tarehe aliyo fanyiziwa kitu mbaya mzee kimambi
mnashangilia tu hujui kuwa huenda mange ana chuki kubwa nchi hii.
ila nyumbu mnataka kuingia kichws kichw tu poleni
 
Safu inapangwa, panguliwa mwaka wa tatu sasa. Kunyoosha nchi siyo mcezo bwana
 
Jamaa anakosoa wenzake wakati hajajiaandaa na kuufahamu zaidi mfumo wa Monarch. Kajaribu kudhalilisha wenzake wakati hata hajui nini alichokielezea. Ni kama magufuli kumtuma Maiga UN kuhutubia baraza la usalama hovyo huwezi kusema magufuli ni mkuu wa nchi lakini mahiga ni mhusika kwenye UN. Hatari sana kukurupuka katika jukwaa kama hili
Ndivyo aliaminishwa, kiufupi constitutional monarcy king/queen ndio kila kitu(kiongozi wa taifa), isipokuwa waziri mkuu anakasimu madaraka kwa vile queen/king anakuwa sio kiongozi wa kisiasa. Waziri mkuu anakuwa ni kiongozi wa kiserikali kwa vile yeye ni kiongozi wa kisiasa na anaowaongoza ni wanasiasa. Sasa bunge la nchi limecompose wanasiasa anategemea wataongozwa na nani kama sio mwanasiasa mwenzao?
Sasa ye analeta porojo hapa bila kujua
 
Bora sasa labda atatabasamu kidogo maana kununa kule angezeeka mapema zaidi.
 
Hivi mnaolalamika mna akili sawasawa? Wanajeshi kupanda vyeo imekuwa kitu kipya na kudhani ni matayarisho ya tarehe 26 April?

Je, mnajua taratibu za kijeshi!? Afisa wa jeshi ( commissioned officer) lazima apandishwe cheo kulingana na mda aliotumikia pia kulingana na mahitaji ya kiuongozi na utendaji wa jeshi.

Eleweni kabla ya kutoa lawama.
Hakuna alielaumu ndg. Wanachohoji walipa kodi ni mjeshi kuteuliwa kuwa DC, kisha kuondolewa u DC na kurejeshwa jeshini na kupanda cheo! Imekaaje hii?
 
Hakuna alielaumu ndg. Wanachohoji walipa kodi ni mjeshi kuteuliwa kuwa DC, kisha kuondolewa u DC na kurejeshwa jeshini na kupanda cheo! Imekaaje hii?
Hizo teuzi nyingine huwa zinakwenda kimkakati jaribuni kulielewa hilo, alipoteuliwa kuna kazi alikwenda kuifanya baada ya kumaliza na kukabidhi ripoti aidha amefanya vizuri ndio amepandishwa cheo
 
Hakuna alielaumu ndg. Wanachohoji walipa kodi ni mjeshi kuteuliwa kuwa DC, kisha kuondolewa u DC na kurejeshwa jeshini na kupanda cheo! Imekaaje hii?
Kwa hiyo kodi zimeongezeka au sio!!?
 
Wakurya teuzi hizi sijasikia majina yetu kama zamani.mfano Majenerali hawa,Gimonge,Marwa,igoti,chacha,Waitara,Rioba,isamuhyo,Kiaro,nk.walioteuliwa kachape kazi kwa taifa tunawategemea.
ukabira wako kapeleke kwenu huko tanzania ni moja
 
Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............

Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Labda yule mdada Kaogopesha watu. This is serious.
 
No, hairuhusiwi. Brig Gen mwenyewe anastahili kupewa ADC wake. Kwa hiyo rais akiwa na ADC wa cheo hicho watalazimika kuwepo ADC wawili, mmoja wa rais na mwingine wa huyo ADC wa rais.
Hivi kazi za ADC ni nini hasa maana huku uraiani wanamwita Body Guard
 
Mabadiliko ya lazima na pia ni ya kawaida kabisa.
Hakuna kosa shughuli ya aina huyo kufanyiwa Ikulu.
Hongera CDF
Hongera JPM
 
Back
Top Bottom