gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
nauliza, hivi kwa nini TBC ambayo ni ya taifa huwa hairushi mechi live za mashindano ya VPL kama wafanyavyo Azam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana haki na kibalinauliza, hivi kwa nini TBC ambayo ni ya taifa huwa hairushi mechi live za mashindano ya VPL kama wafanyavyo Azam?
Hiyo ni tarehe aliyo fanyiziwa kitu mbaya mzee kimambiTutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............
Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Ndivyo aliaminishwa, kiufupi constitutional monarcy king/queen ndio kila kitu(kiongozi wa taifa), isipokuwa waziri mkuu anakasimu madaraka kwa vile queen/king anakuwa sio kiongozi wa kisiasa. Waziri mkuu anakuwa ni kiongozi wa kiserikali kwa vile yeye ni kiongozi wa kisiasa na anaowaongoza ni wanasiasa. Sasa bunge la nchi limecompose wanasiasa anategemea wataongozwa na nani kama sio mwanasiasa mwenzao?Jamaa anakosoa wenzake wakati hajajiaandaa na kuufahamu zaidi mfumo wa Monarch. Kajaribu kudhalilisha wenzake wakati hata hajui nini alichokielezea. Ni kama magufuli kumtuma Maiga UN kuhutubia baraza la usalama hovyo huwezi kusema magufuli ni mkuu wa nchi lakini mahiga ni mhusika kwenye UN. Hatari sana kukurupuka katika jukwaa kama hili
Mabeo anatuchafulia jeshi..wapiganaji hadi leo wanamkumbuka na kumtamani MwamunyangeCDF naye anafanyia teuzi zake IKULU? TBC walikuwa live kutoka ikulu
Hakuna alielaumu ndg. Wanachohoji walipa kodi ni mjeshi kuteuliwa kuwa DC, kisha kuondolewa u DC na kurejeshwa jeshini na kupanda cheo! Imekaaje hii?Hivi mnaolalamika mna akili sawasawa? Wanajeshi kupanda vyeo imekuwa kitu kipya na kudhani ni matayarisho ya tarehe 26 April?
Je, mnajua taratibu za kijeshi!? Afisa wa jeshi ( commissioned officer) lazima apandishwe cheo kulingana na mda aliotumikia pia kulingana na mahitaji ya kiuongozi na utendaji wa jeshi.
Eleweni kabla ya kutoa lawama.
Hizo teuzi nyingine huwa zinakwenda kimkakati jaribuni kulielewa hilo, alipoteuliwa kuna kazi alikwenda kuifanya baada ya kumaliza na kukabidhi ripoti aidha amefanya vizuri ndio amepandishwa cheoHakuna alielaumu ndg. Wanachohoji walipa kodi ni mjeshi kuteuliwa kuwa DC, kisha kuondolewa u DC na kurejeshwa jeshini na kupanda cheo! Imekaaje hii?
Kwa hiyo kodi zimeongezeka au sio!!?Hakuna alielaumu ndg. Wanachohoji walipa kodi ni mjeshi kuteuliwa kuwa DC, kisha kuondolewa u DC na kurejeshwa jeshini na kupanda cheo! Imekaaje hii?
ukabira wako kapeleke kwenu huko tanzania ni mojaWakurya teuzi hizi sijasikia majina yetu kama zamani.mfano Majenerali hawa,Gimonge,Marwa,igoti,chacha,Waitara,Rioba,isamuhyo,Kiaro,nk.walioteuliwa kachape kazi kwa taifa tunawategemea.
Labda yule mdada Kaogopesha watu. This is serious.Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............
Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Bwana yule kapaniki.kuelekea 26 april.
Teuzi zilitakiwa zifanywe na kamati. Sasa bwana yule kaamua.Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Hii ni moja ya Nchi yenye maajabu mengi zaidi duniani.Brigadier general abaki kuwa mpambe wa rais? Hujui mambo ya jeshi uliza kabla hujalalamika!
Na maagizo ya JIWEMabeo anatuchafulia jeshi..wapiganaji hadi leo wanamkumbuka na kumtamani Mwamunyange
Hivi kazi za ADC ni nini hasa maana huku uraiani wanamwita Body GuardNo, hairuhusiwi. Brig Gen mwenyewe anastahili kupewa ADC wake. Kwa hiyo rais akiwa na ADC wa cheo hicho watalazimika kuwepo ADC wawili, mmoja wa rais na mwingine wa huyo ADC wa rais.