primolut N
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 391
- 316
What I really mean ni kuwe na clear separation kati ya siasa na jeshiWewe ulitakaje labda ?
Ebu tupe ushauri wako,siku zote na duniani kote katika mabara yote mkuu wa nchi(Rais) ndo mkuu wa majeshi na ndiye anawapandisha vyeo maafisa wote wa jeshi
Duuuh,,,,,Mimi sijuiKumbe hata wapinzani wanaruhusiwa kuwapo jeshini?
Nafasi za JKT zikitoka nenda Mkuu.Wenye nchi wanakula tu nchi,na sisi wananchi tupo kwenye benchi tunaitazama hii mechi!
Sawa Sawa MkuuUtapandishwa hata mwakani
Hapa hatubishani tunaelekezana na kuweka kumbu kumbu sawa kuna uwezekano ni Mimi niliyesahauEndelea na ubishi wako
kuna athari kubwa sana kama utatenganisha jeshi na siasa kwenye nafasi za juu(kwa mfano Rais asiwe amiri keshi mkuu) ni tatizo kubwa sana ambalo linaweza kuifanya nchi isikalike wala kutawalikaWhat I really mean ni kuwe na clear separation kati ya siasa na jeshi
Kuwa bodyguard wa rais vs kuongoza brigade! Ipi ni nyadhifa kubwa kuliko nyingine?Brigadier kimsingi anaongoza brigedi au kikosi-jeshi or equivalent na sio kuwa mpambe wa kiongozi. Mtu mzito sana huyo.
Kama tunavyoona kwamba mkuu wa nchi ni mwanachama wa chama Fulani cha siasa na Mwenyekiti pia ina maana hilo jeshi linaweza tumika kwa maslahi ya kichamakuna athari kubwa sana kama utatenganisha jeshi na siasa kwenye nafasi za juu(kwa mfano Rais asiwe amiri keshi mkuu) ni tatizo kubwa sana ambalo linaweza kuifanya nchi isikalike wala kutawalika
Ficha Unoko wako brother, CDF asipokuwa mtiifu kwa amirijeshi mkuu wa majeshi unataka amtii nani? Kubenea? Au msigwa?Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Mwambata ni nini?Brigadier kimsingi anaongoza brigedi au kikosi-jeshi or equivalent na sio kuwa mpambe wa kiongozi. Mtu mzito sana huyo.
Ok huwa sina mafungamano na unawataja najaribu kufikiria madhara ya siasa kwa upande wa jeshi. Naona we unaleta uchama hapa!Ficha Unoko wako brother, CDF asipokuwa mtiifu kwa amirijeshi mkuu wa majeshi unataka amtii nani? Kubenea? Au msigwa?
Hujui protokali za kijeshi wewe!!
Unatafuta mwanya wa kuhubiri ukabila? Ukabila umekujaa akilini mwako huna jema,Hayo majina ni ya kanda zipi? #$@[emoji190][emoji190][emoji190]
Hilo ni tatizo katika nchi zetu za kiafrika,ambapo watawala hawaijui demokrasia na wapinzani pia hawaijui demokrasia,lakini matatizo haya ni nafuu zaidi kuliko Rais asiwe amiri jeshi mkuu.Kama tunavyoona kwamba mkuu wa nchi ni mwanachama wa chama Fulani cha siasa na Mwenyekiti pia ina maana hilo jeshi linaweza tumika kwa maslahi ya kichama
Ni kweli lakini kwani jeshi si lina majukumu kikatibaHilo ni tatizo katika nchi zetu za kiafrika,ambapo watawala hawaijui demokrasia na wapinzani pia hawaijui demokrasia,lakini matatizo haya ni nafuu zaidi kuliko Rais asiwe amiri jeshi mkuu.
Yaani hakuna atakayetawala hata kwa miezi miwili tu,ni vurugu tupu,kwa sababu Rais hatakuwa na amri ya jeshi na mkuu wa jeshi hatokuwa na wajibu wa kufuata order yoyote ya Rais.
Sasa sijui ikitokea vita itakuwaje ?,Rais anasema twende vitani,je mkuu wa jeshi atatii hiyo order ?
Jamaa ni muoga sanaaaaNimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Nikuulize shida yako ni nini? Unataka Mabeyo asimtii rais Magufuli?Ok huwa sina mafungamano na unawataja najaribu kufikiria madhara ya siasa kwa upande wa jeshi. Naona we unaleta uchama hapa!
Rais ni amiri jeshi mkuu kwa cheo chake mpambe wake lazima awe Kanali ,mkuu wa majeshi CDF mpambe wake anakuwa luteni Kanali,jinsi vyeo vinavyoshuka na wapambe hivyo hivyoKanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Wewe huelewi kitu na hutokaa uelewe.Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?
Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.
Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.