Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Wewe ulitakaje labda ?
Ebu tupe ushauri wako,siku zote na duniani kote katika mabara yote mkuu wa nchi(Rais) ndo mkuu wa majeshi na ndiye anawapandisha vyeo maafisa wote wa jeshi
What I really mean ni kuwe na clear separation kati ya siasa na jeshi
 
Jamani jamaa yetu Col. Masha mbona amesahaulika? They guy deserves it jamani. Naona hata brother amerudi kundini so wamfikirie tuu kijana wa watu.
 
What I really mean ni kuwe na clear separation kati ya siasa na jeshi
kuna athari kubwa sana kama utatenganisha jeshi na siasa kwenye nafasi za juu(kwa mfano Rais asiwe amiri keshi mkuu) ni tatizo kubwa sana ambalo linaweza kuifanya nchi isikalike wala kutawalika
 
kuna athari kubwa sana kama utatenganisha jeshi na siasa kwenye nafasi za juu(kwa mfano Rais asiwe amiri keshi mkuu) ni tatizo kubwa sana ambalo linaweza kuifanya nchi isikalike wala kutawalika
Kama tunavyoona kwamba mkuu wa nchi ni mwanachama wa chama Fulani cha siasa na Mwenyekiti pia ina maana hilo jeshi linaweza tumika kwa maslahi ya kichama
 
Ficha Unoko wako brother, CDF asipokuwa mtiifu kwa amirijeshi mkuu wa majeshi unataka amtii nani? Kubenea? Au msigwa?

Hujui protokali za kijeshi wewe!!
Ok huwa sina mafungamano na unawataja najaribu kufikiria madhara ya siasa kwa upande wa jeshi. Naona we unaleta uchama hapa!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kama tunavyoona kwamba mkuu wa nchi ni mwanachama wa chama Fulani cha siasa na Mwenyekiti pia ina maana hilo jeshi linaweza tumika kwa maslahi ya kichama
Hilo ni tatizo katika nchi zetu za kiafrika,ambapo watawala hawaijui demokrasia na wapinzani pia hawaijui demokrasia,lakini matatizo haya ni nafuu zaidi kuliko Rais asiwe amiri jeshi mkuu.
Yaani hakuna atakayetawala hata kwa miezi miwili tu,ni vurugu tupu,kwa sababu Rais hatakuwa na amri ya jeshi na mkuu wa jeshi hatokuwa na wajibu wa kufuata order yoyote ya Rais.
Sasa sijui ikitokea vita itakuwaje ?,Rais anasema twende vitani,je mkuu wa jeshi atatii hiyo order ?
 
Ni kweli lakini kwani jeshi si lina majukumu kikatiba
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Rais ni amiri jeshi mkuu kwa cheo chake mpambe wake lazima awe Kanali ,mkuu wa majeshi CDF mpambe wake anakuwa luteni Kanali,jinsi vyeo vinavyoshuka na wapambe hivyo hivyo
 
Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?

Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.

Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
Wewe huelewi kitu na hutokaa uelewe.

Ukikaa kila kitu kupinga pinga basi kamwe hutaelewa kitu aiseee.
Hao wako kazini wakiona wamekamilisha kazi basi wanarudi nyumbani jeshini kwahyo ukiona hivyo jua mission successful and completed.
 
Back
Top Bottom