barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ni rais, kupandisha mtu cheo huwa ni PENDEKEZO (Nimemuomba rais) toka kwa mkuu wa majeshi kwenda kwa rais, mdicho alichofanya Mabeyo.Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Bodyguard mod nini?Hapana mkuu simfananishi na koplo ila kwa uelewa wangu ni kwamba kuna junior COs na senior Officers, huyo bwana katoka junior officer. Kwa hiyo Codes za senior officer zinamzuia kuwa bodyguard.
Brigadier anapewa mpambe na mlinzi wakati adc hana chochoteTaratibu boss! Kuna cheo na kuna madaraka! OCD anaweza kuwa na nyota 1 lakini inspector wa wilaya hiyo hiyo anaweza kuwa nyota 2!
Bado naamini kazi ya kuwa mlinzi wa rais (japo inafahamika kama Mpambe) ni kazi nyeti kuliko ya Brigadier!
Head of state ni malkia/mfalmeWaziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
Ukitumia lugha za kihuni sijui "mbeba box" una insult your understanding! Unyeti ni pamoja na kuwa na access na head of state muda mwingi! Kwa taarifa yako Mkelemi anapokuwa nje ya kumsaidia rais anakuwa na bodyguard muda wote!Brigadier anapewa mpambe na mlinzi wakati adc hana chochote
Halafu elewa yule sio mlinzi ,rais analindwa na Tiss ..yule ni msaidizi wa rais
Saizi ADC mkelemi anaendeshwa,analindwa na anapewa mpambe ..
Brigadier wanafanya mkutano na rais huku adc akiwa anabeba mafaili tu na kupeleka peleka hana say
Yaani unasema bado unaamini adc mbeba maboksi ,viatu ni kazi nyeti kuliko brigadier generali ase una matatizo ,brigadier ana plot mapinduzi
Kimadaraka,kicheo brigadier mtu mkubwa sana kuliko mbeba mwamvuli ,faili wa rais ..saizi mkelemi ana heshima
Lakini ceremonial haina impact ni sawa na Rais wa ethiopia au pakistan!! Useless figureheads..... Ila nguvu zote za uendeshaji serikali zipo chini ya waziri mkuu na malkia ANASHAURI tu ila hana mamlaka juu ya uendeshaji wa serikali sasa hapo nani kimahesabu ndio TOP wa nchi irrespective of heavy titles she has???Ukielewa kuanzia unwritten constitution utaelewa kuwa jamaa yuko sahihi, kwa maana waziri mkuu nkuwa ni kiongozi wa serikali (queen anabaki kuwa ceremonial)
Head of state ni queen na ndie mwenyewe commander in chief. Mambo msimkosoe mtu muwe mnaelewa.
Paperwork!! Ila practically its the prime minister hata mamlaka ya queen yote katiba inataka ASHAURIANE na waziri mkuu kwanza!!!Head of state ni malkia/mfalme
Sanaa ya uteuzi au unazungumzia sanaa ipiSafi sanaa
Hivi Unachoshindwa kuelewa ni kipi? Mfano raisi ni kiongozi wa nchi lakini waziri mkuu ni kiongozi wa shughuli za serikali bungeni. Sasa kwa upande wa constitutional monarchy iko hivi.Lakini ceremonial haina impact ni sawa na Rais wa ethiopia au pakistan!! Useless figureheads..... Ila nguvu zote za uendeshaji serikali zipo chini ya waziri mkuu na malkia ANASHAURI tu ila hana mamlaka juu ya uendeshaji wa serikali sasa hapo nani kimahesabu ndio TOP wa nchi irrespective of heavy titles she has???
Malkia ana kazi mbili tu mkuu ila waziri mkuu ana mamlaka mara 100 zaidi ya malkia sasa nani mkui wa nchi??
Hata mie nimemshangaaNimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Usiwabeze wanajeshi wetu.Yangekuwa hodari kwa kudeliver na kuleta maendeleo jinsi yalivyo kwa kuteuateua tungekuwa mbali sana.
Na mpaka sasa hivi majeshi yote yanatumika kwa maslahi ya chamaKama tunavyoona kwamba mkuu wa nchi ni mwanachama wa chama Fulani cha siasa na Mwenyekiti pia ina maana hilo jeshi linaweza tumika kwa maslahi ya kichama
.Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Utwaitwa uhami..Huyo ADC mpya lazima atakuwa msuku..