Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ni rais, kupandisha mtu cheo huwa ni PENDEKEZO (Nimemuomba rais) toka kwa mkuu wa majeshi kwenda kwa rais, mdicho alichofanya Mabeyo.
 
Taratibu boss! Kuna cheo na kuna madaraka! OCD anaweza kuwa na nyota 1 lakini inspector wa wilaya hiyo hiyo anaweza kuwa nyota 2!

Bado naamini kazi ya kuwa mlinzi wa rais (japo inafahamika kama Mpambe) ni kazi nyeti kuliko ya Brigadier!
Brigadier anapewa mpambe na mlinzi wakati adc hana chochote

Halafu elewa yule sio mlinzi ,rais analindwa na Tiss ..yule ni msaidizi wa rais

Saizi ADC mkelemi anaendeshwa,analindwa na anapewa mpambe ..

Brigadier wanafanya mkutano na rais huku adc akiwa anabeba mafaili tu na kupeleka peleka hana say

Yaani unasema bado unaamini adc mbeba maboksi ,viatu ni kazi nyeti kuliko brigadier generali ase una matatizo ,brigadier ana plot mapinduzi

Kimadaraka,kicheo brigadier mtu mkubwa sana kuliko mbeba mwamvuli ,faili wa rais ..saizi mkelemi ana heshima
 
Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
Head of state ni malkia/mfalme
 
Brigadier anapewa mpambe na mlinzi wakati adc hana chochote

Halafu elewa yule sio mlinzi ,rais analindwa na Tiss ..yule ni msaidizi wa rais

Saizi ADC mkelemi anaendeshwa,analindwa na anapewa mpambe ..

Brigadier wanafanya mkutano na rais huku adc akiwa anabeba mafaili tu na kupeleka peleka hana say

Yaani unasema bado unaamini adc mbeba maboksi ,viatu ni kazi nyeti kuliko brigadier generali ase una matatizo ,brigadier ana plot mapinduzi

Kimadaraka,kicheo brigadier mtu mkubwa sana kuliko mbeba mwamvuli ,faili wa rais ..saizi mkelemi ana heshima
Ukitumia lugha za kihuni sijui "mbeba box" una insult your understanding! Unyeti ni pamoja na kuwa na access na head of state muda mwingi! Kwa taarifa yako Mkelemi anapokuwa nje ya kumsaidia rais anakuwa na bodyguard muda wote!

Kuwa pembeni ya Rais muda mwingi ni kazi nyeti! Tukubaliane kutokukubaliana!
 
Ukielewa kuanzia unwritten constitution utaelewa kuwa jamaa yuko sahihi, kwa maana waziri mkuu nkuwa ni kiongozi wa serikali (queen anabaki kuwa ceremonial)
Head of state ni queen na ndie mwenyewe commander in chief. Mambo msimkosoe mtu muwe mnaelewa.
Lakini ceremonial haina impact ni sawa na Rais wa ethiopia au pakistan!! Useless figureheads..... Ila nguvu zote za uendeshaji serikali zipo chini ya waziri mkuu na malkia ANASHAURI tu ila hana mamlaka juu ya uendeshaji wa serikali sasa hapo nani kimahesabu ndio TOP wa nchi irrespective of heavy titles she has???

Malkia ana kazi mbili tu mkuu ila waziri mkuu ana mamlaka mara 100 zaidi ya malkia sasa nani mkui wa nchi??
 
Hivi Unachoshindwa kuelewa ni kipi? Mfano raisi ni kiongozi wa nchi lakini waziri mkuu ni kiongozi wa shughuli za serikali bungeni. Sasa kwa upande wa constitutional monarchy iko hivi.
Prime minister ni kiongozi wa serikali lakini queen ni kiongozi wa nchi, linapokuja swala la mambo yote ya majeshi queen ndie commander in chief na ana mamlaka kamili juu ya nchi.
Hata huyo waziri mkuu kuwa ndio kiongozi wa serikali bado mambo yote yako kwenye mamlaka ya queen na maamuzi pia
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
The Queen's Role
 
Naam, tazama 260418 yaja upesi. Ole wake mtu yule aliyeiacha njia na kugeukia udhalimu, asema Bwana wa Majeshi.
 
Kama tunavyoona kwamba mkuu wa nchi ni mwanachama wa chama Fulani cha siasa na Mwenyekiti pia ina maana hilo jeshi linaweza tumika kwa maslahi ya kichama
Na mpaka sasa hivi majeshi yote yanatumika kwa maslahi ya chama
 
..labda ni kwasababu Brig.General anakuwa na msaidizi wake/ adc kama ambavyo Raisi anaye.
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
.
huwezi
 
Replica Nitabiri, Mkeremy atakuwa mkuu wa majeshi muda wowote ikiwa Mabeyo atamaliza muda wake au kutokea mabadiliko yoyote katika kipidi cha utawala wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom