Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Hii safu imekamilika, sasa jeshi letu linajiimarisha zaidi kinguvu na kiutendaji ...
 
Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?

Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.

Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
Yule tangu kuwekwa Mkuu wa Wilaya wakati bado mwanajeshi tu paliharibika kanuni kadhaa.

Tulipoaingia vyama vingi, tulipigia mstari kanuni muhimu ya "civilian control of the military". Viongozi wote waliokuwa wanajeshi hawa kina Kikwete, Makamba, Chiligati etc wakaambiwa wachague kuwa wanajeshi au uongozi wa kisiasa/ executive.

Hata Commander in Chief Kikwete, mwanajeshi mstaafu, hakuvaa hata magwanda ya jeshi.Kwakuelewa kwamba hata muonekano wa military leadership ni mbaya.

Wengi walistaafu jeshini.

Naona sasa tunarudi kupindua hii kanuni kwa kurudisha "military leadership of civilians".

Hata Commander in Chief ambaye hajapata kuwa mwanajeshi anavaa magwanda ya jeshi.

Civilian control of the military - Wikipedia
 
Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
Australia new Zealand canada siyo Republic ni monarch hivyo Queen ndiye pekee head of state japo ni ceremonial lakini ni head if state kama ilivyo UK. Na Jamaica pia head wao wa state ni Queen
 
Head of state wa uk new Zealand canada ni Queen Elizabeth Ii na siyo Prime Minister wa hizo nchi. Hao ni head wa shughuli za serikali.
Sasa who is who mkuu au unataka kubishana tu?? Same applies kma queen elizabeth ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni director General si hoja bado inasimama kwamba sio kila head of state ni amiri jeshi mkuu au ambacho hatuelewani ni kipi
 
Hapana mkuu simfananishi na koplo ila kwa uelewa wangu ni kwamba kuna junior COs na senior Officers, huyo bwana katoka junior officer. Kwa hiyo Codes za senior officer zinamzuia kuwa bodyguard.
Unajichanganya sana, kwani meja sio senior officers? Ungesema kuwa huyo kwa sasa ni jenerali ungeeleweka vizuri sana.
 
Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
personal union, however, and not as Queen of the United Kingdom, but individually and collaterally as Queen of each, Elizabeth II is Queen and head of state of fifteen other Commonwealth Realms:

1. Antigua and Barbuda;
2. Australia;
3. Bahamas;
4. Barbados;
5. Belize;
6. Canada;
7. Grenada;
8. Jamaica;
9. New Zealand;
10. Papua New Guinea;
11. St. Kitts and Nevis;
12. Saint Lucia;
13. Saint Vincent and the Grenadines;
14. Solomon Islands;
15. Tuvalu.
 
Hujui kitu wewe unapiga kelele hapa JF na kukashifu watu wakati hujui kitu. Governor general anamuwakilisha Queen. Mwaka 1961 Nyerere alikua Waziri Mkuu Turnbull alikua governor Queen Elizabeth alikua head of State. Hili nakupatia somo la siasa pamoja na historia kusudi usiaibike hata jaribu kutumia mitandao ikusaidie kama google. Siyo kukariri governor general tu
Umejibu vizuri sana.
 
Ukishakuwa na rank ya brigedia general aisee ww ni mtu mzito sana uwezi tena ukawa mpambe wa raisi yani general uwe tena mpambe wa raisi ni kitu ambacho akiwezekani na ndomana alivypopanda cheo wakamtoa kiprotocal ipo ivyo..
 
Sasa who is who mkuu au unataka kubishana tu?? Same applies kma queen elizabeth ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni director General si hoja bado inasimama kwamba sio kila head of state ni amiri jeshi mkuu au ambacho hatuelewani ni kipi
Commander-in-Chief of the CanadianArmed Forces. The Commander-in-Chief of the Canadian Armed Forces (French: Commandant en chef des Forces armées canadiennes) is the supreme commander of Canada'sarmed forces. Constitutionally,command-in-chief is vested in theCanadian sovereign, presently Queen Elizabeth II.
 
Hujui kitu wewe unapiga kelele hapa JF na kukashifu watu wakati hujui kitu. Governor general anamuwakilisha Queen. Mwaka 1961 Nyerere alikua Waziri Mkuu Turnbull alikua governor Queen Elizabeth alikua head of State. Hili nakupatia somo la siasa pamoja na historia kusudi usiaibike hata jaribu kutumia mitandao ikusaidie kama google. Siyo kukariri governor general tu
Queen ni ceremonial tu hana mamlaka na vitu vingi hivyo automatically waziri mkuu ndio kiongozi wa nchi hata director general kazi nyingi mpaka awe ameshauriana na waziri mkuu ila hana direct powers juu ya serikali
 
Watumishi wengine mfano Walimu madaktari hawapandi vyeo
 
Ndiyo monarch inavyofanya kazi. Na huyo governor general ni muwakilishi wa queen hivyo kuwa commander in chief ni mwakilishi wa queen. Cheo kimekuwa bestowed kwake.
 
Commander-in-Chief of the CanadianArmed Forces. The Commander-in-Chief of the Canadian Armed Forces (French: Commandant en chef des Forces armées canadiennes) is the supreme commander of Canada'sarmed forces. Constitutionally,command-in-chief is vested in theCanadian sovereign, presently Queen Elizabeth II.
Mkuu unachobisha ni nini?? Queen elizabeth ni kiongozi wa kimakaratasi tu ila nguvu zote za serikali zipo mikononi mwa waziri mkuu

Ndio narudi kwenye hoja kwamba ingawa waziri mkuu ndio top wa canada ila bado sio amiri jeshi mkuu.... Huyo malkia hana madaraka kuzidi waziri mkuu sioni tunachobishana hapa ni nni
 
Brigedia general uwa analindwa hata kama akistafu ma askari wa kijeshi wanaenda nyumbani kwake kukaa gadi kuweka ulinzi kama kawaida kuwa brigedia general co masihara iyo rank ni rank kubwa sana jeshi uyo ni mtu mzito sana analindwa na askari nyumbani kwake mpaka atakapo kufa ukianzia rank ya Brigedia general,major general,lutern general mpaka General mwenyewe awa ni watu wazito na wakubwa sana jeshini lazima walindwe mpaka wanakufa na maskari jeshi nyumbani hata kama wamestaafu lazima askari mlioko kwny ma kombania ya ulinzi kwny ma vikosi vya ulinzi lazima muende gadi majumbani kwao mkawalindw hawa watu ni very very important people ni shida lazima walindwe..yani ma private na macopro uwa wana furahigi sana wakipangiwa Date naende mlinda brigedia mstaafu frani kwake mana uko uwa ni shumbwela sana huwa wanapumzika tuu..
 
Ulinzi gani wakati msaidizi wa rais ,anambebea makabrasha na vitu na kukaa nyuma yake tu kama adc ..walinzi ni yule anayekaa upande wa kulia akiangaza macho(kiongozi wa walinzi ana earphone) na wengine waliovaa suti na earphone na siku hizi kuna makirikiri

Brigadier anayeongoza brigedi ana heshima na cheo kuliko mpambe ,msaidizi na mbeba viatu vya rais

Maswali mengine bwana alikuwa kanali kapandishwa cheo cha juu kuwa brigadier jenerali na kwa cheo hicho cdf anasema apangiwe kazi nyengine yenye hadhi hiyo ya upambe haimfai.halafu unakuja ww unaanza kuropoka eti brigedi ya jeshi haina hadhi kuliko upambe ..

Ina maana ww mjuzi kuliko cdf ??/
Taratibu boss! Kuna cheo na kuna madaraka! OCD anaweza kuwa na nyota 1 lakini inspector wa wilaya hiyo hiyo anaweza kuwa nyota 2!

Bado naamini kazi ya kuwa mlinzi wa rais (japo inafahamika kama Mpambe) ni kazi nyeti kuliko ya Brigadier!
 
Ndiyo monarch inavyofanya kazi. Na huyo governor general ni muwakilishi wa queen hivyo kuwa commander in chief ni mwakilishi wa queen. Cheo kimekuwa bestowed kwake.
Lakini queen sio top wa nchi ni cheo cha heshima tu hana mamlaka yeyote makubwa kuliko waziri mkuu hyo ndio hoja yangu kwamba top wa nchi sio lazima awe commander in chief

Hata kutangaza vita ni mpaka ashauriane na waziri mkuu n.k hivyo technically malkia sio kiongozi wa nchi ila kapewa title tu na ana kazi mbili 2 kwenye katiba nzima......
 
personal union, however, and not as Queen of the United Kingdom, but individually and collaterally as Queen of each, Elizabeth II is Queen and head of state of fifteen other Commonwealth Realms:

1. Antigua and Barbuda;
2. Australia;
3. Bahamas;
4. Barbados;
5. Belize;
6. Canada;
7. Grenada;
8. Jamaica;
9. New Zealand;
10. Papua New Guinea;
11. St. Kitts and Nevis;
12. Saint Lucia;
13. Saint Vincent and the Grenadines;
14. Solomon Islands;
15. Tuvalu.
Kwa makaratasi tu cheo cha heshima ila madaraka yote yapo kwa mawaziri wakuu

Malkia ana mamlaka mawili tu ila waziri mkuu anayo zaidi ya 100 sasa nani ndio kiongozi wa dola ???

Come on!!
 
Queen ni ceremonial tu hana mamlaka na vitu vingi hivyo automatically waziri mkuu ndio kiongozi wa nchi hata director general kazi nyingi mpaka awe ameshauriana na waziri mkuu ila hana direct powers juu ya serikali
Ukielewa kuanzia unwritten constitution utaelewa kuwa jamaa yuko sahihi, kwa maana waziri mkuu nkuwa ni kiongozi wa serikali (queen anabaki kuwa ceremonial)
Head of state ni queen na ndie mwenyewe commander in chief. Mambo msimkosoe mtu muwe mnaelewa.
 
Back
Top Bottom