Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule tangu kuwekwa Mkuu wa Wilaya wakati bado mwanajeshi tu paliharibika kanuni kadhaa.Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?
Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.
Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
Australia new Zealand canada siyo Republic ni monarch hivyo Queen ndiye pekee head of state japo ni ceremonial lakini ni head if state kama ilivyo UK. Na Jamaica pia head wao wa state ni QueenWaziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
Sasa who is who mkuu au unataka kubishana tu?? Same applies kma queen elizabeth ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni director General si hoja bado inasimama kwamba sio kila head of state ni amiri jeshi mkuu au ambacho hatuelewani ni kipiHead of state wa uk new Zealand canada ni Queen Elizabeth Ii na siyo Prime Minister wa hizo nchi. Hao ni head wa shughuli za serikali.
Ni inboxKanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Unajichanganya sana, kwani meja sio senior officers? Ungesema kuwa huyo kwa sasa ni jenerali ungeeleweka vizuri sana.Hapana mkuu simfananishi na koplo ila kwa uelewa wangu ni kwamba kuna junior COs na senior Officers, huyo bwana katoka junior officer. Kwa hiyo Codes za senior officer zinamzuia kuwa bodyguard.
personal union, however, and not as Queen of the United Kingdom, but individually and collaterally as Queen of each, Elizabeth II is Queen and head of state of fifteen other Commonwealth Realms:Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
Umejibu vizuri sana.Hujui kitu wewe unapiga kelele hapa JF na kukashifu watu wakati hujui kitu. Governor general anamuwakilisha Queen. Mwaka 1961 Nyerere alikua Waziri Mkuu Turnbull alikua governor Queen Elizabeth alikua head of State. Hili nakupatia somo la siasa pamoja na historia kusudi usiaibike hata jaribu kutumia mitandao ikusaidie kama google. Siyo kukariri governor general tu
Commander-in-Chief of the CanadianArmed Forces. The Commander-in-Chief of the Canadian Armed Forces (French: Commandant en chef des Forces armées canadiennes) is the supreme commander of Canada'sarmed forces. Constitutionally,command-in-chief is vested in theCanadian sovereign, presently Queen Elizabeth II.Sasa who is who mkuu au unataka kubishana tu?? Same applies kma queen elizabeth ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni director General si hoja bado inasimama kwamba sio kila head of state ni amiri jeshi mkuu au ambacho hatuelewani ni kipi
Queen ni ceremonial tu hana mamlaka na vitu vingi hivyo automatically waziri mkuu ndio kiongozi wa nchi hata director general kazi nyingi mpaka awe ameshauriana na waziri mkuu ila hana direct powers juu ya serikaliHujui kitu wewe unapiga kelele hapa JF na kukashifu watu wakati hujui kitu. Governor general anamuwakilisha Queen. Mwaka 1961 Nyerere alikua Waziri Mkuu Turnbull alikua governor Queen Elizabeth alikua head of State. Hili nakupatia somo la siasa pamoja na historia kusudi usiaibike hata jaribu kutumia mitandao ikusaidie kama google. Siyo kukariri governor general tu
Ndiyo monarch inavyofanya kazi. Na huyo governor general ni muwakilishi wa queen hivyo kuwa commander in chief ni mwakilishi wa queen. Cheo kimekuwa bestowed kwake.Queen ni ceremonial tu hana mamlaka na vitu vingi hivyo automatically waziri mkuu ndio kiongozi wa nchi hata director general kazi nyingi mpaka awe ameshauriana na waziri mkuu ila hana direct powers juu ya serikali
Mkuu unachobisha ni nini?? Queen elizabeth ni kiongozi wa kimakaratasi tu ila nguvu zote za serikali zipo mikononi mwa waziri mkuuCommander-in-Chief of the CanadianArmed Forces. The Commander-in-Chief of the Canadian Armed Forces (French: Commandant en chef des Forces armées canadiennes) is the supreme commander of Canada'sarmed forces. Constitutionally,command-in-chief is vested in theCanadian sovereign, presently Queen Elizabeth II.
Taratibu boss! Kuna cheo na kuna madaraka! OCD anaweza kuwa na nyota 1 lakini inspector wa wilaya hiyo hiyo anaweza kuwa nyota 2!Ulinzi gani wakati msaidizi wa rais ,anambebea makabrasha na vitu na kukaa nyuma yake tu kama adc ..walinzi ni yule anayekaa upande wa kulia akiangaza macho(kiongozi wa walinzi ana earphone) na wengine waliovaa suti na earphone na siku hizi kuna makirikiri
Brigadier anayeongoza brigedi ana heshima na cheo kuliko mpambe ,msaidizi na mbeba viatu vya rais
Maswali mengine bwana alikuwa kanali kapandishwa cheo cha juu kuwa brigadier jenerali na kwa cheo hicho cdf anasema apangiwe kazi nyengine yenye hadhi hiyo ya upambe haimfai.halafu unakuja ww unaanza kuropoka eti brigedi ya jeshi haina hadhi kuliko upambe ..
Ina maana ww mjuzi kuliko cdf ??/
Lakini queen sio top wa nchi ni cheo cha heshima tu hana mamlaka yeyote makubwa kuliko waziri mkuu hyo ndio hoja yangu kwamba top wa nchi sio lazima awe commander in chiefNdiyo monarch inavyofanya kazi. Na huyo governor general ni muwakilishi wa queen hivyo kuwa commander in chief ni mwakilishi wa queen. Cheo kimekuwa bestowed kwake.
Kwa makaratasi tu cheo cha heshima ila madaraka yote yapo kwa mawaziri wakuupersonal union, however, and not as Queen of the United Kingdom, but individually and collaterally as Queen of each, Elizabeth II is Queen and head of state of fifteen other Commonwealth Realms:
1. Antigua and Barbuda;
2. Australia;
3. Bahamas;
4. Barbados;
5. Belize;
6. Canada;
7. Grenada;
8. Jamaica;
9. New Zealand;
10. Papua New Guinea;
11. St. Kitts and Nevis;
12. Saint Lucia;
13. Saint Vincent and the Grenadines;
14. Solomon Islands;
15. Tuvalu.
Ukielewa kuanzia unwritten constitution utaelewa kuwa jamaa yuko sahihi, kwa maana waziri mkuu nkuwa ni kiongozi wa serikali (queen anabaki kuwa ceremonial)Queen ni ceremonial tu hana mamlaka na vitu vingi hivyo automatically waziri mkuu ndio kiongozi wa nchi hata director general kazi nyingi mpaka awe ameshauriana na waziri mkuu ila hana direct powers juu ya serikali