King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mabeyo asituyeyushe,yaani yeye ndio amempandisha cheo mpambe bila Trump rappa kumpa ruhusa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna kipindi kulikuwa na luteni generali wanne, lakini hii mara nyingi hutokezea kwenye kipindi cha transition of powerPaskali,inaruhusiwa kuwa na Ma Luteni Jenerali wawili kwa mpigo? Nimezoea utamaduni wa kuna na mmoja kwa wakati..
Na mara nyingine hupewa tu kwa kuwa anakaribia kustaafu so inakuwa kama shukrani kwa kutumikia jeshi kwa uadilifu na uaminifu.Mbona kuna kipindi kulikuwa na luteni generali wanne, lakini hii mara nyingi hutokezea kwenye kipindi cha transition
Ni sahihi pia, maana unapofanya kazi kwa kujitolea na utendaji wako ukaonekana mwajiri wako hatosita kufanya hivyo kama kukufariji ili kukuongezea kiinua mgongo chako ukistaafu[emoji106]Na mara nyingine hupewa tu kwa kuwa anakaribia kustaafu so inakuwa kama shukrani kwa kutumikia jeshi kwa uadilifu na uaminifu.
Mfano meja jenerali anakaa kwenye cheo hicho kwa muda mrefu kwa uadilifu mkubwa na anakaribia kustaafu so jeshi linaona hekima kumuomba CIC ampandishe cheo kuwa luteni jenerali muda mchache kabla ya kustaafu kama heshima na shukran kwa kutumikia jeshi na nchi kwa muda mrefu tena kwa nidhamu na uadilifu mkubwa.
Na hii ina faida hasa kwenye pensheni, kiinua mgongo na marupurupu mengine.
......Hamad Rashid Mohamed alikuwa ADC lini !?Sio jeshini tu hata serikalini huoni "Mkuu wa ADC Tanzania" yule Hamad Rashid kachaguliwa kua Waziri wa Mifugo huko kwa waPemba
Amechanganya madesa baina ya ADC - Alliance for Democratic Change......Hamad Rashid Mohamed alikuwa ADC lini !?
Nakuonya tena!....@chakaza yako uliichunga !? Mbona umeiachia humu JF inazurura hovyo !
Yeye ndiye amiri jeshiNimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
umeongea pointReplica Kitu kimoja sikipendi kuhusu General Mabeyo, anafanya shughuli za jeshi kwenye macho ya public.
Kuwapandisha vyeo watu, generals wa nyuma kina Mwamnyange, Mboma, Waitara etc hawakuwa wanatangaza tangaza 'laivu' kwenda kwenda ikulu sijui wapi. Ni unakuta tu kuwa taarifa magazetini fulani kapandishwa cheo na rais, basi! Hamna mbwembwe.
..Mkuu..Yeye ndiye amiri jeshi
Hayo makarai ya chadomo hayajui hata itifaki na nidhamu.Yeye ndiye amiri jeshi
.......ungeanza na babako !Nakuonya tena!
Ndio tatizo na watoto wa makahaba! Hawawajui babazao hivyo hata heshima hawana........ungeanza na babako !
Google to chamaa lee. Soma hii hapa chini nimekutafutia kwa google, iko kwa kimombo lakini:Hivi kazi za ADC ni nini hasa maana huku uraiani wanamwita Body Guard
Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?
Mtu akisema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.
ni kwasababu hujui historia ya nchi hii, rudi nyuma toka enzi za mwl na awamu 4 zilizofuata, wakuu wa mikoa na wilaya wa mipakani wengi huwa wanatoka na vyombo vya ulinzi na usalama.
awamu ya 5 ni muendelezo tu.
hayo ni maeneo ya kimkakati, bila kuwa na viongozi wa maeneo hayo wanaojua masuala ya ulinzi kabisa ni changamoto..maana changamoto za mipakani sio tu wahamiaji haramu.
Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.