Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabeyo asituyeyushe,yaani yeye ndio amempandisha cheo mpambe bila Trump rappa kumpa ruhusa?
 
Paskali,inaruhusiwa kuwa na Ma Luteni Jenerali wawili kwa mpigo? Nimezoea utamaduni wa kuna na mmoja kwa wakati..
Mbona kuna kipindi kulikuwa na luteni generali wanne, lakini hii mara nyingi hutokezea kwenye kipindi cha transition of power
 
Mbona kuna kipindi kulikuwa na luteni generali wanne, lakini hii mara nyingi hutokezea kwenye kipindi cha transition
Na mara nyingine hupewa tu kwa kuwa anakaribia kustaafu so inakuwa kama shukrani kwa kutumikia jeshi kwa uadilifu na uaminifu.

Mfano meja jenerali anakaa kwenye cheo hicho kwa muda mrefu kwa uadilifu mkubwa na anakaribia kustaafu so jeshi linaona hekima kumuomba CIC ampandishe cheo kuwa luteni jenerali muda mchache kabla ya kustaafu kama heshima na shukran kwa kutumikia jeshi na nchi kwa muda mrefu tena kwa nidhamu na uadilifu mkubwa.

Na hii ina faida hasa kwenye pensheni, kiinua mgongo na marupurupu mengine.
 
Ninaona na kusoma post nyingi,sijaiona SURA YA ADC mpya,wala CV yake kijeshi.
 
Na mara nyingine hupewa tu kwa kuwa anakaribia kustaafu so inakuwa kama shukrani kwa kutumikia jeshi kwa uadilifu na uaminifu.

Mfano meja jenerali anakaa kwenye cheo hicho kwa muda mrefu kwa uadilifu mkubwa na anakaribia kustaafu so jeshi linaona hekima kumuomba CIC ampandishe cheo kuwa luteni jenerali muda mchache kabla ya kustaafu kama heshima na shukran kwa kutumikia jeshi na nchi kwa muda mrefu tena kwa nidhamu na uadilifu mkubwa.

Na hii ina faida hasa kwenye pensheni, kiinua mgongo na marupurupu mengine.
Ni sahihi pia, maana unapofanya kazi kwa kujitolea na utendaji wako ukaonekana mwajiri wako hatosita kufanya hivyo kama kukufariji ili kukuongezea kiinua mgongo chako ukistaafu[emoji106]
Nimesemea kuhusu transition of power kwa sababu muda mwingine hutokezea kupandishwa wengi ili kuwaongezea kiinua mgongo but katika hao anaekwenda kushika madaraka ni mmoja tu ref; kipindi cha shimbo, walipandishwa kisamba, meela na ndomba(ndie aliyeshika madaraka) hao waliobaki waliongezewa kiinua mgongo tu.
 
Replica Kitu kimoja sikipendi kuhusu General Mabeyo, anafanya shughuli za jeshi kwenye macho ya public.

Kuwapandisha vyeo watu, generals wa nyuma kina Mwamnyange, Mboma, Waitara etc hawakuwa wanatangaza tangaza 'laivu' kwenda kwenda ikulu sijui wapi. Ni unakuta tu kuwa taarifa magazetini fulani kapandishwa cheo na rais, basi! Hamna mbwembwe.
umeongea point
 
Hivi kazi za ADC ni nini hasa maana huku uraiani wanamwita Body Guard
Google to chamaa lee. Soma hii hapa chini nimekutafutia kwa google, iko kwa kimombo lakini:

ADC (Aide De Camp) is a personal assistant or secretary to a person of high rank, usually a senior military, police or government officer, a member of a royal family, or a head of state.

This is not to be confused with an adjutant, who is the senior administrator of a military unit.

The first aide-de-camp is typically the foremost personal aide.

In some countries, the aide-de-camp is considered to be a title of honour (which confers the post-nominal letters ADC or A de C), and participates at ceremonial functions.

The badge of office for an aide-de-camp is usually the aiguillette, a braided cord in gold or other colours, worn on the shoulder of a uniform. Whether it is worn on the left or the right shoulder is dictated by protocol.

The President of Tanzania has an aide-de-camp from the Tanzania People's Defence Force from the rank of colonel.

Within the United States Army, aides-de-camp are specifically appointed to general-grade officers (NATO Code OF-6 through OF-10), the Secretary of the Army, Secretary of Defense, Vice President, and President of the United States; rank and number determined by the grade. For those general officers with more than one aide, the senior-ranking aide is usually considered to be the senior aide and serves in the capacity of coordinating the other aides and the others of the general's personal staff such as the driver, orderlies, et al. In general, for the majority officers, the maximum tour of duty for aides is two years. The following is a listing of the accepted number of aides and allowable maximum rank allotted a general officer:[17]

Brigadier general: one lieutenant
Major general: one captain; one lieutenant
Lieutenant general: one major; one captain
General: one lieutenant colonel, one major, one captain
General of the Army (or Chief of Staff, USA): one colonel, one lieutenant colonel, one major
Note: AR 614-100 states a general officer may choose any commissioned officer of any rank equal to or below the allowed rank stated above.
Lieutenant colonels and colonels commanding units (battalions and brigades, respectively) do not have aides. Occasionally, the unit's adjutant – called the S-1 – will assist the commanding officer as an aide but this is uncommon. Since a General of the Army does not retire and remains an officer of the United States Army for life, he or she is entitled to an aide of the rank of colonel.

U.S. Army aides-de-camp wear a special device in place of the branch-of-service (i.e., infantry, artillery, quartermaster, et al.) insignia they would otherwise wear on the lapels of their service uniform. The rank of the general officer being served is indicated on the device worn by the aide-de-camp, as illustrated below. Although the Chief of Staff of the Army and the Chairman of the Joint Chiefs of Staff are O-10 positions, their aides-de-camp wear devices specific to those offices, rather than the normal four-star aide device. Also, an aide-de-camp wears a special aiguillette on the shoulder of his or her dress uniform.
The aide-de-camp in the United States Navy is also known as a flag aide (command ashore) or flag lieutenant (command afloat).[18][19]

The military aides to the US President number five (one from each of the armed services), and they are majors and lieutenant colonels (in the Army, Marine Corps and Air Force). Navy and Coast Guard military aides to the President hold the rank of lieutenant commander or commander. One of their major roles is to hold the Presidential emergency satchel. There are, in addition to these five permanent aides-de-camp, some 40–45 military social aides, who are more junior (lieutenant to major) and are temporary officers whose appointment is, as their titles suggest, for social purposes (primarily as hosts at the White House). They are part-time, required for perhaps 2–4 afternoons a m
 
Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?

Mtu akisema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.

ni kwasababu hujui historia ya nchi hii, rudi nyuma toka enzi za mwl na awamu 4 zilizofuata, wakuu wa mikoa na wilaya wa mipakani wengi huwa wanatoka na vyombo vya ulinzi na usalama.

awamu ya 5 ni muendelezo tu.

hayo ni maeneo ya kimkakati, bila kuwa na viongozi wa maeneo hayo wanaojua masuala ya ulinzi kabisa ni changamoto..maana changamoto za mipakani sio tu wahamiaji haramu.

Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
 
Back
Top Bottom