Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kikubwa na hatari kilicholetwa uchaguzi 2020 ni kuwa msimamizi halazimiki kuwapa mawakala nakala za matokeo kama ilivyokuwa chaguzi za nyuma.
Hivyo ushahidi wa matokeo mawakala watakuwa hawana
Acha ujinga wewe sio alazimiki bali nakala kila kitabu kinaweza kikatoa nakala kwa kila chama mara saba na ni lazima wamakala wote wapewe nakala za matokeo ...
Hata juzi Mahera kasema na utaratibu uko wazi kabisa!