Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,393
- 1,216
Suala hapa si kuunganisha matokeo bali kuhesabu kura, nakumbuka kura zilihesabiwa kwenye kituo na kubandikwa isipokuwa ujumulishaji ndio ulifanyika wilayani.
Hii ilibadilishwa angani na tume isiyo huru baada ya mzee Slaa kumkalia vibaya Mzee Jk.Ilikuwa hivyo tokea mwaka 2010. Kata haiunganishi matokeo ya Raisi Wala ubunge.
SAHIHISuala hapa si kuunganisha matokeo bali kuhesabu kura, nakumbuka kura zilihesabiwa kwenye kituo na kubandikwa isipokuwa ujumulishaji ndio ulifanyika wilayani.
SAHIHI KABISAni kweli kata haikuwa inafanya majumuisho ya kura za urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2015...
majumuisho yalikuwa yakifanyika jimboni....
lakini hadi kufikia muda wa kumaliza kupiga kura jioni... kila kituo kilikuwa kinajua idadi ya kura za urais...
Umeambiwa ndivyo ilivyo na hiyo ndiyo sheria shida iko wapi au ulipania unakoshabikia washinde kivyovyote?Kama ndivyo basi mwaka huu hakuna uchaguzi bali ni uchafuzi. CCM wamejiandaa kushinda kwa nguvu kwa maslahi yao binafsi.