Kikubwa na hatari kilicholetwa uchaguzi 2020 ni kuwa msimamizi halazimiki kuwapa mawakala nakala za matokeo kama ilivyokuwa chaguzi za nyuma.
Hivyo ushahidi wa matokeo mawakala watakuwa hawana
Basi waache kupotosha umma kwa kitu walichoshindwa kukipigia kelele muda mrefuKwa faida yao mkuu... simple km ivo yani
Siyo kweli, 2015 nilibahatika kupata nafasi ya kusimamia ILA haikuwa hivyo
Labda katani kwako mkuu,, ila niliposimamia mimi utaratibu ulikua sawa na huu uliotangazwa sasaSiyo kweli, 2015 nilibahatika kupata nafasi ya kusimamia ILA haikuwa hivyo
Kufata mikumbo kunatesa watuShida hawa chadema wanafikiri watu wote wanasubiri kufundishwa na Lissu na hawajishughulishi kama wao hahahaha
ni kweli kata haikuwa inafanya majumuisho ya kura za urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2015...Ilikuwa hivyo tokea mwaka 2010. Kata haiunganishi matokeo ya Raisi Wala ubunge.
Sasa wewe huoni au kwasabBu mnadola huoni ya upAnde WA pili.Wanakera sana hawa jamaa, kila kukicha visingizio waonekane wanaonewa
Ndio maana ninasema waache kulalamika sasa hivi, maadam waliyajua haya tangu mwanzo ilibidi wayapigie kelele kuliko kulalamika ikiwa imebaki siku moja kitu ambacho hakisaidii chochoteSasa wewe huoni au kwasabBu mnadola huoni ya upAnde WA pili.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kuhesabiwa na kuunganishwa ni vitu tofauti. Inawezekana kabisa kura za madiwani, mbunge na Rais zikahesabiwa ngazi ya kata. Baada ys hapo za madiwani zikajumlishwa kwenye ngazi ya kata, za mbunge ngazi ya jimbo na za Rais ngazi ya Taifa.Acha kupotosha, nilikuwa Long term observer uchaguzi wa 2015 chini ya LHRC na hakuna popote niliposhuhudia kura za mbunge na rais zikiunganishwa ngazi ya kata.
Wamepigia kelele katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, je vipo ili tujue wakipigia kitu kelele kinatekelezwa?Basi waache kupotosha umma kwa kitu walichoshindwa kukipigia kelele muda mrefu
Mwaka huu ndio mwisho wa wizi wenu, huo utaratibu wa KITAPELI haukubaliki sasa. Matokeo yatahesabiwa vituoni na wakala ataondoka na nakala yake, basi.Inaonekana 2020 ndio mwaka wako wa kwanza kupiga kura, huo ndio utaratibu wa siku zote hakuna jpya hapo!
Acha ufala wewe pimbi, ni mangapi wameyapinga kwenye maandalizi ya huu uchaguzi na yakakataliwa kibabe? Halafu kwa ujinga wako unadhani wanaoathirika kwa kuchaguliwa viongozi kinguvu ni wapinzani tuu...Hapo sifahamu, kulikua na umuhimu wa viongozi wa upinzani ku address hili mapema, ila waliamua kutumia muda mwingi kulalamika majukwaani so wasubiri utaratibu utumike waliojiwekea tume
Huyo Mahera ndiyo bure kabisa...Acha ujinga wewe sio alazimiki bali nakala kila kitabu kinaweza kikatoa nakala kwa kila chama mara saba na ni lazima wamakala wote wapewe nakala za matokeo ...
Hata juzi Mahera kasema na utaratibu uko wazi kabisa!
Majuzi si wakurugenzi walikuwa wanawakumbia kuwaapisha mawakala au wewe unaishi Somalia??Acheni ushabiki nyie mmeanza visingizio....kwani hamna mawakala?
Haya sawa, kaa hapo kutukana, maana matusi ndiyo yatamuweka Lissu madarakaniAcha ufala wewe pimbi, ni mangapi wameyapinga kwenye maandalizi ya huu uchaguzi na yakakataliwa kibabe? Halafu kwa ujinga wako unadhani wanaoathirika kwa kuchaguliwa viongozi kinguvu ni wapinzani tuu...
Bad enough katika kundi kubwa hivyo waliojiandikisha unaweza kukuta ni 20% achilia mbali watoto na mamluki.Vijana wa ACT wazalendo wafikisha Ujumbe ibeni Kura Nchi kwake moto
Ni kipi kilichokuwa hakijaongelewa hapo kabla. Walisema sana kwa vile ccm wachache wenye ujinga vichwani mwao ndio hujiona wengine hawna haki.Ndio maana ninasema waache kulalamika sasa hivi, maadam waliyajua haya tangu mwanzo ilibidi wayapigie kelele kuliko kulalamika ikiwa imebaki siku moja kitu ambacho hakisaidii chochote