Mabadiliko kombe la Crdb FA

Mabadiliko kombe la Crdb FA

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Kuna mabadiliko nimeyaona ya muundo wa kombe la Crdb FA cup kutoka kwenye ule muonekano wa kwanza likiwa kombe la Azam
Mabadiliko sio mabaya na kombe limependeza ila sio vizuri kuwa na muonekano tofauti Kila mara mdhamini mpya anapokuja hii inaharibu muendelezo wa muonekano kwa makombe kwenye makabati ya team
Sisi kama yanga tutalichukua na hili ili kuboresha zaidi kabati letu
 
Attachments

  • Screenshot_20240531-103422.jpg
    Screenshot_20240531-103422.jpg
    165 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240531-103308.jpg
    Screenshot_20240531-103308.jpg
    236.7 KB · Views: 2
Tuangalie Fei asije kutufanyia unyambilisi
Huyu safari hii kama atakanyaga mpira labda siyo mimi! Lazima wapigwe kama amesimama. Kipindi kile walinufaika na wachezaji kucheza kwa tahadhari ya kukosa champions league sasa hivi hatuna cha kupoteza! Wakumbuke safari hii Aucho, Yao Yao na Pacomé wako fit watajuta kuwafahamu Yanga!
 
Pacome hayuko fit kwa asilimia 100
 
Huyu safari hii kama atakanyaga mpira labda siyo mimi! Lazima wapigwe kama amesimama. Kipindi kile walinufaika na wachezaji kucheza kwa tahadhari ya kukosa champions league sasa hivi hatuna cha kupoteza! Wakumbuke safari hii Aucho, Yao Yao na Pacomé wako fit watajuta kuwafahamu Yanga!
Hii ni advantage kwetu hasa uwepo wa Aucho na Pacome japo bado hajawa fit sana ila uwezo wake wa ku scan na kutoa pasi ni mzuri utasaidia kwa pasi za mwisho
 
Watajuta kutufahamu! Mpaka tuwaulize huo ushindi waliupataje?
 
Kila la kheri watoto wa Mzee wetu bakhresa.
 
Back
Top Bottom