Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mbona kwenye mpira kunaonekana picha ya mzungu amechuchumaa!Kuna mabadiliko nimeyaona ya muundo wa kombe la Crdb FA cup kutoka kwenye ule muonekano wa kwanza likiwa kombe la Azam
Mabadiliko sio mabaya na kombe limependeza ila sio vizuri kuwa na muonekano tofauti Kila mara mdhamini mpya anapokuja hii inaharibu muendelezo wa muonekano kwa makombe kwenye makabati ya team
Sisi kama yanga tutalichukua na hili ili kuboresha zaidi kabati letu