Huyu safari hii kama atakanyaga mpira labda siyo mimi! Lazima wapigwe kama amesimama. Kipindi kile walinufaika na wachezaji kucheza kwa tahadhari ya kukosa champions league sasa hivi hatuna cha kupoteza! Wakumbuke safari hii Aucho, Yao Yao na Pacomé wako fit watajuta kuwafahamu Yanga!Tuangalie Fei asije kutufanyia unyambilisi
Pacome hayuko fit kwa asilimia 100Huyu safari hii kama atakanyaga mpira labda siyo mimi! Lazima wapigwe kama amesimama. Kipindi kile walinufaika na wachezaji kucheza kwa tahadhari ya kukosa champions league sasa hivi hatuna cha kupoteza! Wakumbuke safari hii Aucho, Yao Yao na Pacomé wako fit watajuta kuwafahamu Yanga!
Hii ni advantage kwetu hasa uwepo wa Aucho na Pacome japo bado hajawa fit sana ila uwezo wake wa ku scan na kutoa pasi ni mzuri utasaidia kwa pasi za mwishoHuyu safari hii kama atakanyaga mpira labda siyo mimi! Lazima wapigwe kama amesimama. Kipindi kile walinufaika na wachezaji kucheza kwa tahadhari ya kukosa champions league sasa hivi hatuna cha kupoteza! Wakumbuke safari hii Aucho, Yao Yao na Pacomé wako fit watajuta kuwafahamu Yanga!
Watajuta kutufahamu! Mpaka tuwaulize huo ushindi waliupataje?Hii ni advantage kwetu hasa uwepo wa Aucho na Pacome japo bado hajawa fit sana ila uwezo wake wa ku scan na kutoa pasi ni mzuri utasaidia kwa pasi za mwisho
Ukinimention sipati notification😥
Kwa Nini 😂Ukinimention sipati notification😥
SijuiKwa Nini 😂
PoleeSijui
Ngoja nikumention mimi! ephen_!!! notification si imefika faster tu! Huenda Vincenzo Jr ana damu ya kunguni. 😎Ukinimention sipati notification😥
Haijafika😂Ngoja nikumention mimi! ephen_!!! notification si imefika faster tu! Huenda Vincenzo Jr ana damu ya kunguni. 😎
😂😂🤣😁😁😁Ngoja nikumention mimi! ephen_!!! notification si imefika faster tu! Huenda Vincenzo Jr ana damu ya kunguni. 😎