Mabadiliko makubwa Turkana, nchi hii kila kona raha tu

Hivi Africa hii kuna sehemu fukara kama Turkana?

Angalau wanajaribu kutatua matatizo yao, Turkana ni Jangwa na kame hakuna kitu kinamea huko lkn pamoja na hizo changamoto wanafanya kazi kutatua matatizo, huku kwetu raisi wenu anaondoka na watu zaidi ya 100 kwa wiki mbili kwenda kucheza cinema USA, nyuma ameacha nchi haina umeme, haina maji, mishahara kupandisha Hela hakuna kwa maana waneshaiba zote walizozikuta hazina, Kenya wamepandisha mshahara 12% kama nilivyosoma ni kweli, Tanzania kila kitu kimependa raisi wenu anasema kama jibu hata USA mafuta yamepanda, Makamba Waziri muhusika anasema wao hawachimbi mafuta.

Hivyo angalau hao jamaa pamoja na changamoto wanajaribu kutatua matatizo waliyonayo na siyo kukimbia nchi kama raisi wenu!
 
Kwa hiyo unalalamika kwa wakenya wakusaidie nini?
Hv ww ni wakiume kweli?
Inaonekana hata mambo ya chumban Huwa unayapeleka kijiwen, badilika hata huko Kenya Kuna matatzo kibao kuhusu raisi wao na hawaji kujipendekeza kwetu
 
Kwa hiyo unalalamika kwa wakenya wakusaidie nini?
Hv ww ni wakiume kweli?
Inaonekana hata mambo ya chumban Huwa unayapeleka kijiwen, badilika hata huko Kenya Kuna matatzo kibao kuhusu raisi wao na hawaji kujipendekeza kwetu

Nitalalamika kwa yoyote yule hata awe Mkongo au Sudani kama wanafanya kazi nzuri na kujaribu kutatua matatizo yanayowakabili na siyo kukimbia nakutafuta visingizio kama watoto nitawasifu tu na haijalishi!
 
Acha porojo na ujiheshimu
 
Safi sana, Barbara kama za kuingia mji wa Las Vegas
 

Kweli wewe kijakazi.
 

Hivi Africa hii kuna sehemu fukara kama Turkana?
Kuna siku nilidhani akaunti yako imekua hacked kisa ulitumia akili kupost, hehehe! Safi sana kwa kurudia hali yako.
 
Safi sana hii miundo mbinu italifaidi sana gatuzi la Turkana, sanasana kwenye kuwavutia watalii. Nimefanikiwa kukatiza maeneo ya magharibi mwa ziwa la Turkana, kutoka Lodwar, Lokichar kwa visima vya mafuta, hadi Lokitaung na ndani ya boda za S.Sudan pamoja na Ethiopia(Ilemi).

Barabara ambayo inaunganisha Kainuk na Lokichar imeleta faida nyingi kwa wanabiashara na wavuvi pia, kwenye miji kama wa Kalokyol, ambao upo kwenye fukwe za Ziwa Turkana. Turkana is a beautiful place na wanasayansi wanasema kwamba huko ndio chimbuko la binadamu(cradle of mankind). Promo ya kutalii maeneo hayo inafaa iwe kwamba ukifika Turkana ni kama umerudi nyumbani. Fukwe za Eliye Springs na Ferguson Gulf. Kapedo Hot Waterfalls, kwenye mpaka wa gatuzi la Baringo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…