Tetesi: Mabadiliko TBL

Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz.
Adiiiioooos amigoooo.
Afadhali...sisi Maulamaa tunataka wote wenye biashara kharam wafunge biashara zao. Viwanda vya bia vikimalizika watakuja wauza kitimoto laana tululai....
 
Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz.
Adiiiioooos amigoooo.
unaujua ukubwa wa chupa za bia za sasa?
 
Daaa mlevi ni.mlevi tu badala ashukuru kapunguziwa gharama.za kilevi yeye analalamika kuwa Utakuwa kapunguziwa rate ya kulewa haraka...daaa nime amini bora umfadhiri mbuzi utakula mchuzi na sio mwanadamu.
Hii ni habari ya kusikitisha aisee, vichupa vidogo tutalewa sangapi sasa? wanataka kutuharibia ndoa zetu hawa mabo ya kukesha baa ya nini jamani
 
Daaa mlevi ni.mlevi tu badala ashukuru kapunguziwa gharama.za kilevi yeye analalamika kuwa Utakuwa kapunguziwa rate ya kulewa haraka...daaa nime amini bora umfadhiri mbuzi utakula mchuzi na sio mwanadamu.
Kuwa na heshima na adabu wewee hivi hujui nchi yenu bila ya sisi wanywaji na si walevi kama ulivyosema Nchi yako haiwezi kuwalipa mishahara.?! Kuweni na heshima na unyenyekevu kwa wanywaji bia bwanaa Eboo...!
 
Wakiwa ikulu wana kula na kusaza kwa kodi zetu wanafikiria na huku mtaani wananchi wanaishi maisha ya aina yao...hawataki kusikia kuna njaa, uchumi kudorola,uhaba wa maji, madawa na chanjo hispitalini kukosekana, usalama mbovu. Hakika mwenye shibe hamkumbuki mwenye Njaa! Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu tuzidi Kuliombea Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…