Tetesi: Mabadiliko TBL

Tetesi: Mabadiliko TBL

Piga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
mlevi ana hesabu nyigi kuliko hata unavyomjua kwenye ile chupa ndogo alcohol yake imechangamka balaa japo contents zinasema zote alcohol moja kunywa safari kubwa nne na mimi ninywe ndogo 3 tuone nani atachangamka vizuri
 
Kwahiyo hapo inaonesha kuwa hesabu za equation zimewashinda wabongo wengi.
Piga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
 
mlevi ana hesabu nyigi kuliko hata unavyomjua kwenye ile chupa ndogo alcohol yake imechangamka balaa japo contents zinasema zote alcohol moja kunywa safari kubwa nne na mimi ninywe ndogo 3 tuone nani atachangamka vizuri
Mimi sinywi, ila natumia numbers. Kwa kuangalia numbers I.e alcohol percentage na ujazo wa zile chupa ndio maana nimetoa hio comment.

Sasa kama 5% alcohol ya chupa ndogo ni kali kuliko 5% alcohol ya chupa kubwa hilo nakuachia wewe na wanywaji wenzio.
 
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kubwa kuliko nchi yoyote ile ya Africa, lakini wanasahau kauli zao za kukua kwa uchumi na reality ya kitaa haviendani kabisa ni kama usiku na mchana.
Mangiiii kumekucha tena!
 
Piga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
Yes. Ndo maana hii strategy yako watatusua. Less Content ila bei itakuwa kubwa ingawa itakuwa ndogo kulinganisha na chupa kubwa.
 
mlevi ana hesabu nyigi kuliko hata unavyomjua kwenye ile chupa ndogo alcohol yake imechangamka balaa japo contents zinasema zote alcohol moja kunywa safari kubwa nne na mimi ninywe ndogo 3 tuone nani atachangamka vizuri
Hisia zako tu. Content sawa zote. Utofauti ni ujazo tu.
 
Ishi! Vi-takeaway mbona vinabeba ujazo wa bia kamili yaani 500ml?
Ungesemea vi-roba. Ajabu ni kwamba sasa hivi vinafungashwa kwenye plastiki ngumu,wao wakiziita chupa!
Hii nchi kwa ujanjaujanja hapana bw.
don nyati
 
500ml zote za nini " nikipiga kitwanga zangu 5 za 300ml kwa elfu siku yangu inakuwa imeenda fresh kabisa....
 
Uchumi unakuwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndio hivyo aslimia 100 wanakunywa chupa ndogo hata Mimi pia huku kanda ya ziwa kuna bia inaitwa balimi extra lager a.k.a " mwendo kasi"inauzwa 1500= watu tumehamia huko ukifika baa kila mtu ana hako kama hana hiyo basi ni prisner lager 1500,kama sio hiyo ni senetor lager 1200,au eagle 1200, hali ni ngumu sana siku hizi pia ukionekana unakunywa castre lager,safari,Kilimanjaro,na zote za 2500= unaonekana mtu flan hivi daaaah tutafika kweli??
Mkuu Senetor hapana ile sio kabisa bia moja nililala masaa 10
 
Back
Top Bottom